-
IRGC yanasa meli ya 'Togo' ikifanya magendo ya mafuta Ghuba ya Uajemi
Jul 22, 2024 23:27Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limefanikiwa kutwaa meli nyingine ya kigeni ikifanya magendo ya mafuta mengi katika maji ya Ghuba ya Uajemi.
-
Kiwanda cha Dangote chaanza kuuzia Ulaya mafuta ya ndege
Jun 02, 2024 03:07Kiwanda cha Kusafishia Mafuta cha Dangote cha Nigeria kimeanza kuziuzia nchi za Ulaya mafuta ya ndege.
-
Idadi ya walioaga dunia katika mripuko wa lori la mafuta Liberia yaongezeka
Dec 28, 2023 03:09Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mripuko wa lori la mafuta uliotokea katikati ya Liberia imeongezeka na kufikia watu 40.
-
Mripuko katika kituo cha mafuta Guinea waua na kujeruhiwa makumi
Dec 18, 2023 08:19Watu wasiopungua wanane wamefariki dunia katika mripuko uliotokea katika kiwanda kimoja cha kuhifadhi na kusambaza mafuta huko Conakry, mji mkuu wa Guinea.
-
Admeri Tangsiri: Mafuta yaliyoko Ghuba ya Uajemi ni ya Iran, majirani zake
Jul 02, 2023 23:20Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema mafuta yaliyoko katika eneo la Ghuba ya Uajemi ni milki ya Iran na majirani zake katika eneo hili la kistratajia.
-
Reuters: Mauzo ya mafuta ya Iran nje ya nchi yameweka rekodi
Jun 17, 2023 07:38Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa, ununuzi wa mafuta kutoka Iran mwaka huu 2023 umeongezeka kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
-
Ununuzi wa mafuta kutoka Iran, nembo ya kufeli sera za vikwazo za Magharibi
Jun 14, 2023 22:53Takwimu mpya zilizotolewa na Kituo cha Takwimu cha Ulaya (Eurostat) zinaonyesha kuwa, kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2018, Ujerumani imeagiza shehena kubwa ya mafuta au bidhaa za petroli kutoka Iran licha ya vikwazo vya Marekani.
-
Katibu Mkuu wa OPEC akaribisha kurejea kikamilifu Iran katika soko la mafuta
May 30, 2023 06:02Katibu Mkuu wa jumuiya ya nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi Duniani (OPEC) amesema kuwa jumuiya hiyo inakaribisha kurejea kikamilifu Iran katika soko la mafuta baada ya kuondolewa vikwazo.
-
Ghana kuipiga kando dola ya Marekani katika ununuzi wa mafuta
Nov 25, 2022 23:03Serikali ya Ghana inaanda sera mpya ya kununua bidhaa za mafuta kwa kutumia dhahabu badala ya sarafu ya dola ya Marekani.
-
Yemen yazima jaribio la meli ajinabi kuiba mafuta yake
Nov 22, 2022 03:47Vikosi vya jeshi la Yemen vimetangaza habari ya kufanikiwa kuzima jaribio la wizi wa mafuta ya nchi hiyo, lililofanywa na meli ya kubeba mafuta ya nchi ya kigeni.