-
Iran yanasa meli nyingine ya kigeni ikifanya magendo ya mafuta
Apr 11, 2022 02:36Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limefanikiwa kunasa meli nyingine ya kigeni ikifanya magendo ya mafuta katika maji ya Ghuba ya Uajemi.
-
Iran: Uzalishaji wa mafuta ghafi umerejea katika kiwango cha kabla ya vikwazo
Apr 02, 2022 02:36Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kiwango cha uzalishaji wa mafuta ghafi ya taifa hili kimeongezeka na kurejea katika kiwango cha kipindi cha kabla ya vikwazo, ilivyowekewa nchi hii na utawala wa Donald Trump baada ya kuiondoa Marekani kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwaka 2018.
-
Kuongezeka mpasuko ndani ya EU kuhusu vikwazo vya mafuta na gesi dhidi ya Russia
Mar 28, 2022 02:27Waziri Mkuu wa Poland, Mateusz Morawiecki amedai kuwa, nchi tatu za Ulaya za Ujerumani, Austria na Hungary ni kizuizi katika utekelezaji wa vikwazo vipya dhidi ya Russia na kuzifananisha nchi hizo tatu na breki inayozuia vikwazo vya Magharibi dhidi ya Moscow.
-
Ziara isiyo na tija ya Waziri Mkuu wa Uingereza katika nchi za Saudia na Imarati
Mar 19, 2022 06:05Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson mbaye alikuwa ziarani katika nchi za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati), amejaribu sana kuzishawishi nchi hizo mbili ziongeze kiwango chao cha uzalishaji mafuta, lakini amerejea London mikono mitupu.
-
Safari ya Johnson Saudi Arabia; mafuta mhimili wa mazungumzo
Mar 16, 2022 07:15Wakati vita vya Russia na Ukraine vikiendelea na bei ya mafuta duniani kuendelea kupanda pia, Boris Johnson Waziri Mkuu wa Uingereza anaelekea Saudi Arabia kwa ajili ya kujadili suala la kupewa mafuta kwa bei rahisi.
-
Mauzo ya mafuta ya Iran nje ya nchi yaongezeka kwa 40%
Feb 26, 2022 02:38Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema uuzaji wa mafuta yake katika soko la kimataifa umeongezeka kwa asilimia 40 katika kipindi cha miezi mitano iliyopita, licha ya vikwazo dhidi ya taifa hili.
-
Kukua uchumi wa Venezuela licha ya miaka kadhaa ya vikwazo vya kidhalimu vya Marekani
Jan 19, 2022 02:40Licha ya njama mtawalia za Marekani za kuhakikisha Venezuela inatengwa kieneo na kimataifa, lakini Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo ya Amerika ya Latini ametangaza kuwa, Venezuela imerejea katika mkondo wa ustawi na kukua uchumi wake licha ya miaka kadhaa ya njama hizo za Marekani.
-
Wakenya wapewa matumaini ya kupungua bei ya mafuta na ughali wa maisha
Oct 03, 2021 14:52Wananchi wa Kenya wamepata matumaini ya kupungua bei ya mafuta nchini humo ambayo imekuwa mzigo kwa raia baada ya Mamlaka ya Kusimamia Kawi na Petroli Nchini (EPRA) kupandisha bei ya bidhaa hiyo.
-
Wamarekani waiba shehena nyingine ya mafuta ya Syria
Sep 15, 2021 06:21Wanajeshi magaidi na wavamizi wa Marekani wameiba shehena nyingine ya mafuta ya wananchi wa Syria.
-
Iran kuongeza uzalishaji wa mafuta hadi mapipa milioni 6.5 kwa siku
Jun 01, 2021 08:03Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili limeazimia kuongeza kiwango cha uzalishaji wa mafuta yake.