-
Yemen: UN ni mshirika katika uharamia wa Saudia na washirika wake
Apr 17, 2021 08:20Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mafuta la Yemen amekosoa hatua ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia wa kuendelea kushikilia meli zinazobeba mafuta kuelekea Yemen na kusema kuwa Umoja wa Mataifa pia ni mshirika katika uharamia huo.
-
Russia: Marekani ingali inaiba mafuta na ngano ya Syria
Mar 31, 2021 03:03Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa, Marekani inaendelea kuiba na kutorosha mafuta na ngano ya Syria.
-
Zanganeh: Iran inafanya juhudi za kuuza mafuta katika soko la kimataifa
Dec 22, 2020 07:34Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran inafanya jitihada za kuuza mafuta katika soko lal kimataifa licha ya kuendelea vikwazo vya kidhulma vya Marekani dhidi ya nchi hii.
-
Zanganeh: Iran haihitaji idhini ya kurejea katika soko la mafuta
Dec 14, 2020 12:27Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Bijan Namdar Zangeneh amesema taifa hili halihitaji idhini yoyote kurejea katika soko la mafuta na kwamba lina uwezo wa kuuza mapipa milioni 2.3 ya mafuta kila siku.
-
Askari wa jeshi la kiharamia la Marekani waendelea kupora mafuta ya Syria
Dec 13, 2020 14:03Kwa mara nyingine, askari wa jeshi la Marekani wamepora makumi ya malori ya mafuta ya Syria na kuyahamishia nchi jirani ya Iraq.
-
Mansour Hadi atuhumiwa kuiba mafuta ya Yemen kwa msaada wa Saudia na Imarati
Nov 07, 2020 02:30Abdrabbuh Mansur Hadi rais aliyejiuzulu na kukimbilia Saudi Arabia wa Yemen na wanamgambo wenye mfungamano naye wanaiba na kuvusha mafuta ya Yemen akisaidiwa na muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia na Imarati.
-
Iran na Nigeria kushirikiana zaidi katika masuala ya nishati
Sep 24, 2020 02:43Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Nigeria zimetilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano wao katika nyuga mbalimbali hasa za nishati kwa kadiri inavyowezekana.
-
Akiba ya fueli al Hudaydah imemalizika, Saudia yaendelea kuzuia meli 21 za mafuta za Yemen
Sep 02, 2020 02:36Shirika la mafuta la Yemen limesema, akiba yote ya fueli ya shirika hilo iliyokuwepo katika bandari ya al Hudaydah imemalizika.
-
Libya yapata hasara ya dola bilioni 9 kutokana na kufungwa taasisi zake za mafuta
Aug 31, 2020 06:28Shirika la Mafuta la Libya limetangaza kuwa nchi hiyo imepata hasara ya dola bilioni tisa kutokana na kufungwa taasisi za mafuta na kusitishwa uzalishaji na uuzaji wa bidhaa hiyo.
-
Marekani na wizi wa mafuta ya Syria
Aug 28, 2020 02:22Nchi tatu za Iran, Russia na Uturuki zimetoa taarifa ya pamoja mwishoni mwa kikao cha tatu cha Kamati ya Katiba ya Syria zikilaani wizi wa mafuta unaofanywa na Marekani nchini Syria.