-
Mansour Hadi atuhumiwa kuiba mafuta ya Yemen kwa msaada wa Saudia na Imarati
Nov 07, 2020 02:30Abdrabbuh Mansur Hadi rais aliyejiuzulu na kukimbilia Saudi Arabia wa Yemen na wanamgambo wenye mfungamano naye wanaiba na kuvusha mafuta ya Yemen akisaidiwa na muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia na Imarati.
-
Iran na Nigeria kushirikiana zaidi katika masuala ya nishati
Sep 24, 2020 02:43Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Nigeria zimetilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano wao katika nyuga mbalimbali hasa za nishati kwa kadiri inavyowezekana.
-
Akiba ya fueli al Hudaydah imemalizika, Saudia yaendelea kuzuia meli 21 za mafuta za Yemen
Sep 02, 2020 02:36Shirika la mafuta la Yemen limesema, akiba yote ya fueli ya shirika hilo iliyokuwepo katika bandari ya al Hudaydah imemalizika.
-
Libya yapata hasara ya dola bilioni 9 kutokana na kufungwa taasisi zake za mafuta
Aug 31, 2020 06:28Shirika la Mafuta la Libya limetangaza kuwa nchi hiyo imepata hasara ya dola bilioni tisa kutokana na kufungwa taasisi za mafuta na kusitishwa uzalishaji na uuzaji wa bidhaa hiyo.
-
Marekani na wizi wa mafuta ya Syria
Aug 28, 2020 02:22Nchi tatu za Iran, Russia na Uturuki zimetoa taarifa ya pamoja mwishoni mwa kikao cha tatu cha Kamati ya Katiba ya Syria zikilaani wizi wa mafuta unaofanywa na Marekani nchini Syria.
-
Wapiganaji wa Janjaveed wa Sudan wapelekwa Libya kujiunga na Haftar
Aug 11, 2020 11:23Jeshi la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa nchini Libya limetangaza kuwa mfasara uliokuwa na magari 70 ya kijeshi yakibeba silaha na mamluki wa kundi la Janjaweed umevuka maeneo maarufu kama Hilali ya Mafuta ya Libya ukiuelekea katika mji wa Sirte kwa ajili ya kumsaidia jenerali muasi, Khalifa Haftar.
-
Maseneta wa Marekani watishia 'kuichukulia hatua' Saudia
Apr 11, 2020 13:49Maseneta wa Marekani wametishia kuangalia upya uhusiano wao na Saudi Arabia kutokana na hatua ya Riyadh ya kuendelea kuvutana na Russia juu ya bei ya mafuta ghafi ambayo imeiathiri pia Marekani.
-
Seneta wa Marekani aionya Saudia kwa kushusha bei ya mafuta
Apr 04, 2020 04:12Seneta wa chama cha Republican nchini Marekani ameitahadharisha Saudia kuhusu kushuka kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia kutokana na tofauti zake na Russia na kuitaka ibadili mienendo yake.
-
Trump azikosoa Saudi Arabia na Russia kwa kuvuruga soko la mafuta
Mar 31, 2020 06:59Rais Donald Trump wa Marekani sambamba na kuzikosoa Saudi Arabia na Russia kutokana na kuvuruga soko la mafuta, amesema kuwa Riyadh na Moscow zimepatwa na wendawazimu katika suala hilo.
-
Jitihada za Imarati za kudhibiti maliasili za mafuta ya Yemen
Mar 14, 2020 12:07Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unafanya kila uwezalo kudhibiti utajiri wa Yemen vikiwemo visima vya mafuta vya nchi hiyo.