-
Lebanon yachukua uamuzi wa kuanza kuchimba mafuta eneo inalozozania na Israel
Feb 28, 2020 01:17Rais Michel Aoun wa Lebanon ametangaza kuwa nchi yake itaanzisha operesheni ya kuchimba mafuta katika eneo inalozozania na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Uamuzi wa Marekani wa kushadidisha vikwazo vya mafuta dhidi ya Venezuela
Feb 26, 2020 13:06Serikali ya Marekani ikiwa na lengo la kuendeleza mashinikizo dhidi ya Venezuela imeazimia kushadidisha vikwazo vya mafuta dhidi ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini.
-
Bei za mafuta na dhahabu zapanda duniani kufuatia mauaji ya Jenerali Soleimani
Jan 03, 2020 12:15Bei za mafuta na dhahabu katika soko la kimataifa kote duniani zimepanda kufuatia kuuliwa shahidi Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran, Meja Jenerali Qassem Soleimani.
-
Sera za undumilakuwili za Marekani nchini Syria
Dec 06, 2019 08:04Tangu mwaka 2014, Marekani imejiingiza kijeshi kinyume cha sheria nchini Syria kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la Daesh; na hivi sasa pia, licha ya madai ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kwamba imejiondoa kijeshi katika ardhi ya Syria, imeshatafuta kisingizio kingine kipya ili kurefusha muda wa kuweko askari wake nchini humo.
-
Bloomberg: Vikwazo vya Marekani vimefali, uchumi wa Iran unaimarika
Oct 27, 2019 02:39Jarida la kimataifa la biashara la Bloomberg limethibitisha kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimefeli na kwamba uchumi wa nchi hii karibuni utaanza kuimarika.
-
Zanganeh: Juhudi za kusitisha ustawi wa sekta ya mafuta ya Iran zimefeli
Oct 20, 2019 11:40Waziri wa Mafuta wa Iran amesema kuwa ustawi wa sekta ya mafuta ya Iran si tu kuwa haujasitishwa bali kusainiwa makubaliano na kutekelezwa miradii mingi katika sekta ya mafuta na gesi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kumeongezeka.
-
Mripuko watokeo katika kiwanda cha kusafisha mafuta mashariki mwa Saudia
Oct 16, 2019 11:45Shirika la Kitaifa la Mafuta nchini Saudi Arabia ARAMCO limetangaza kutokea mripuko katika kituo cha kusafisha mafuta, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Reuters: Baadhi ya wanafamilia ya kifalme Saudia wanataka Bin Salman awekwe kando, ami yake ashike madaraka
Oct 03, 2019 07:57Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa, baadhi ya wanafamilia ya kifalme inayotawala Saudi Arabia na wafanya biashara wakubwa wa nchi hiyo wameeleza kuvunjwa moyo na uongozi wa mrithi wa ufalme wa nchi hiyo, Muhammad bin Salman baada ya hujuma na mashambulizi makali ya wapiganaji wa harakati ya Ansarullah wa Yemen dhidi ya vituo na taasisi za kuzalisha mafuta mwezi uliopita.
-
'Kushambuliwa vituo vya mafuta vya Saudia, kunabainisha udhaifu na kushindwa kwa Riyadh'
Sep 17, 2019 12:25Mtaalamu na mchambuzi wa masuala ya Magharibi mwa Asia amekadhibisha madai yaliyotolewa kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imehusika katika shambulizi dhidi ya taasisi za mafuta za Saudi Arabia na kusema kuwa, shambulizi hilo kwenye taasisi hizo limeonyesha udhaifu na kushindwa kwa Wasaudi.
-
Jitihada za Trump za kudhibiti bei ya mafuta katika masoko ya kimataifa
Sep 16, 2019 09:25Mashambulizi yaliyofanywa na wanamapambano wa Yemen dhidi ya taasisi za mafuta za Saudi Arabia na kupelekea kupungua nusu ya uzalishaji wa mafuta wa nchi hiyo na kuvuruga masoko ya kimataifa, yamekabiliwa na msimamo wa kukurupuka wa serikali ya Washington.