-
Maonyesho ya Kimataifa ya Mafuta na Gesi yaanza Tehran
May 06, 2017 03:05Maonyesho ya 22 ya Kimataifa ya Mafuta, Gesi, Petrokemikali na Vituo vya Kusafisha Mafuta ya Iran yameanza leo Tehran huku kukiwa na washiriki 4,000 wa kitaifa na kimataifa.
-
Uzalishaji mafuta wakwama tena kusini magharibi mwa Libya
Apr 10, 2017 23:16Uzalishaji wa mafuta katika medani ya al Sharara ya kusini magharibi mwa Libya umekwama tena baada ya watu wenye silaha kufunga bomba moja la kusafirishia mafuta.
-
Iran kuanza kuziuzia nchi za Ulaya mapipa laki 8 ya mafuta kwa siku
Mar 20, 2017 04:32Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatazamiwa kuongeza kiwango cha mauzo yake ya mafuta kwa nchi za Umoja wa Ulaya EU.
-
Shambulio la kundi la kigaidi kwenye vituo vya mafuta nchini Libya
Mar 05, 2017 08:44Sambamba na kuendelea migogoro ya kisiasa na kutokuwepo usalama nchini Libya, kwa mara nyingine kundi moja la wabeba silaha limeweza kudhibiti kituo cha mafuta katika eneo linalojulikana kwa jina maarufu la 'Hilali ya Mafuta' kaskazini mashariki mwa Libya.
-
Wafanyakazi wa sekta ya mafuta na gesi nchini Nigeria wagoma kudai mshahara
Jan 11, 2017 01:13Wafanyakazi wa sekta ya mafuta na gesi nchini Nigeria, wameanzisha mgomo kulalamikia kutolipwa mishahara na marupurupu yao.
-
Kutangaza vita "Walipizaji Kisasi wa Niger Delta" dhidi ya serikali ya Nigeria
Jan 08, 2017 02:48Katika hali ambayo Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ameahidi kufikia suluhu na waasi, kundi la wana mgambo linalojiita Walipizaji Kisasi wa Niger Delta la kusini mwa nchi hiyo limetangaza vita dhidi ya serikali baada ya mazungumzo baina ya pande mbili kumalizika bila ya kufikiwa tija.
-
Bomba jingine la kusafirisha mafuta laripuliwa Niger Delta nchini Nigeria
Nov 28, 2016 04:20Waasi wa eneo la kusini mwa Nigeria la Niger Delta wameshambulia kwa kuripua bomba jingine la kusafirisha mafuta katika eneo hilo.
-
Saudia yasimamisha makubaliano ya kusafirisha mafuta Misri
Nov 08, 2016 04:05Katika kile kinachoonekana ni kutokota mzozo kati ya Riyadh na Cairo juu ya visiwa vya kiistratajia vya Tiran na Sanafir, Misri imetangaza rasmi kuwa, Saudi Arabia imesimamisha makubaliano ya kusafirisha mafuta katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Uzalishaji mafuta warejea katika hali yake ya kawaida nchini Nigeria
Nov 02, 2016 00:53Waziri wa Mafuta wa Nigeria amesema kuwa, uzalishaji mafuta umerejea katika hali yake ya kwaida nchini humo.
-
Mauzo ya mafuta ya Iran barani Asia yaongezeka kwa 92%
Oct 30, 2016 04:27Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema uuzaji wa mafuta yake katika nchi za bara Asia umeongezeka na kufikia asilimia 92, kiwango kinachokaribia cha kabla ya vikwazo.