-
Waislamu Nigeria wapongeza kuondolewa marufuku ya hijabu
Jul 24, 2016 03:30Waislamu nchini Nigeria wamepongeza uamuzi wa Mahakama ya Rufaa mjini Lagos kufutulia mbali marufuku ya kuvaa hijabu katika shule za umma mjini hapo.
-
Bahrain yavunja chama cha Kiislamu cha al-Wefaq
Jul 17, 2016 11:24Mahakama moja nchini Bahrain imekivunja chama kikuu cha upinzani nchini humo cha al-Wefaq, mwezi mmoja baada ya serikali ya Manama kusimamisha shughuli za chama hicho.
-
Bahrain yaendeleza jinai zake, yawafunga maisha jela watu 8
Jun 29, 2016 08:48Katika muendelezo wa wimbi la ukandamizaji na hukumu zisizo za kiadilifu zinazotolewa na utawala wa Manamana dhidi ya wanaharakati na wapinzani, mahakama moja nchini Bahrain imewahukumu kifungo cha maisha jela, wanaharakati wanane wa Kishia wa nchi hiyo sambamba na kuwapokonya uraia.
-
Rufaa ya Zuma kupinga kufufuliwa kesi za ufisadi dhidi yake yakataliwa
Jun 24, 2016 10:14Mahakama Kuu mjini Pretoria nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo ya kupinga kufufuliwa kesi za ufisadi wa kifedha dhidi yake, hatua ambayo ni pigo kwa rais huyo ambaye anakabiliwa na mashinikizo ya kujiuzulu kutoka viongozi wa upinzani.
-
Mahakama Misri yabatilisha kukabidhiwa Saudia visiwa viwili muhimu
Jun 21, 2016 10:25Mahakama moja nchini Misri imetengua hatua ya serikali ya Rais Abdulfattah al-Sisi wa nchi hiyo ya kuipatia Saudi Arabia visiwa viwili vya kistratejia vya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Zuma akata rufaa kupinga kufufuliwa kesi za ufisadi dhidi yake
Jun 10, 2016 09:36Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amekata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kuagiza kufufuliwa kesi zaidi ya 700 za ufisadi wa kifedha dhidi yake.
-
Mahakama ya Kodivaa yaanza kusikiliza kesi dhidi ya mke wa Gbagbo
Jun 01, 2016 03:08Mahakama moja nchini Kodivaa imeanza kusikiliza kesi ya jinai za kivita inayomkabili Simone Gbagbo, mke wa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Laurent Gbagbo.
-
Bahrain yasisitiza kuwanyonga wanaharakati 3 wa Kishia
Jun 01, 2016 02:32Mahakama ya Rufaa ya Bahrain imekataa kutengua hukumu ya kunyongwa wanaharakati watatu wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia.
-
5 wahukumiwa maisha jela Uganda kwa mashambulizi ya kigaidi Kampala
May 28, 2016 03:21Mahakama Kuu ya Uganda imewahukumu kifungo cha miaka mitano jela, watu watano miongoni mwa wanane waliopatikana na hatia ya kuhusika katika mashambulizi pacha mjini Kampala, wakati wa fainali za Kombe la Dunia mwaka 2010.
-
Rais wa Afrika Kusini akata rufaa juu ya kesi za ufisadi dhidi yake
May 24, 2016 11:50Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ametangaza kuwa atakata rufaa kupinga kufufuliwa kesi za ufisadi wa kifedha dhidi yake.