Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mahakama

  • Moise Katumbi kurejea DRC baada ya kufutiwa mashitaka

    Moise Katumbi kurejea DRC baada ya kufutiwa mashitaka

    May 07, 2019 02:11

    Moise Katumbi, mwanasiasa wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye kwa sasa yuko uhamishoni nchini Ubelgiji, anatazamiwa kurejea nyumbani katika kipindi cha wiki mbili zijazo, baada ya Waendesha Mashitaka wa Serikali kufuta uchunguzi wa shitaka la jinai dhidi yake.

  • Facebook, You Tube zashtakiwa kwa kurusha mubashara mauaji ya Waislamu New Zealand

    Facebook, You Tube zashtakiwa kwa kurusha mubashara mauaji ya Waislamu New Zealand

    Mar 26, 2019 03:07

    Baraza la Waislamu nchini Ufaransa (CFCM) limeifungulia mashitaka mitandao ya kijamii ya Facebook na You Tube kwa kurusha hewani mubashara mauaji ya kutisha ya Waislamu nchini New Zealand.

  • Sheikh Zakzaky ashindwa kufika mahakamani kutokana na hali mbaya ya kiafya

    Sheikh Zakzaky ashindwa kufika mahakamani kutokana na hali mbaya ya kiafya

    Mar 26, 2019 03:04

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky ameshindwa kufika mahakamani kutokana na kudorora hali yake ya afya.

  • Wanafunzi waliochora picha ya kumdhihaki Rais wa Burundi washitakiwa

    Wanafunzi waliochora picha ya kumdhihaki Rais wa Burundi washitakiwa

    Mar 21, 2019 11:32

    Wanafunzi watatu wa kike wamefunguliwa mashitaka ya kumdhihaki Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, na huenda wakahukumiwa kifungo cha hadi miaka mitano jela.

  • Aliyekuwa msaidizi wa Papa Francis afungwa kwa kulawiti watoto

    Aliyekuwa msaidizi wa Papa Francis afungwa kwa kulawiti watoto

    Mar 13, 2019 04:17

    Mahakama moja nchini Australia imemhukumu kifungo cha miaka sita jela, aliyekuwa Mkuu wa Hazina ya Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Duniani Vatican, Kadinali George Pell.

  • Mahakama ya utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain yaidhinisha adhabu kali dhidi ya raia kadhaa

    Mahakama ya utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain yaidhinisha adhabu kali dhidi ya raia kadhaa

    Mar 05, 2019 04:29

    Mahakama ya rufaa ya Bahrain imeidhinisha hukumu ya kifungo cha maisha jela na adhabu nyingine za vifungo vya muda mrefu kwa raia kadhaa wa nchi hiyo.

  • Kesi ya kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu Tanzania yaanza kusikilizwa

    Kesi ya kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu Tanzania yaanza kusikilizwa

    Feb 07, 2019 11:17

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam nchini Tanzania imeanza kusikiliza kesi ya kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dk Adelardus Kilangi uliofanywa na Rais John Magufuli tarehe Mosi Februari mwaka jana 2018.

  • Mahakama Nigeria yataka jopo lisikize kesi dhidi ya Jaji Mkuu aliyesimamishwa kazi

    Mahakama Nigeria yataka jopo lisikize kesi dhidi ya Jaji Mkuu aliyesimamishwa kazi

    Jan 30, 2019 11:12

    Mahakama ya Rufaa nchini Nigeria hii leo imetoa uamuzi wa kutaka jopo la uchunguzi lisikilize kesi inayomuandama Jaji Mkuu wa nchi hiyo aliyesimamishwa kazi hivi karibuni.

  • EU, Amnesty zaikosoa Bahrain kwa kumfunga maisha jela Sheikh Salman

    EU, Amnesty zaikosoa Bahrain kwa kumfunga maisha jela Sheikh Salman

    Jan 29, 2019 10:34

    Umoja wa Ulaya umekosoa vikali hatua ya Mahakama ya Juu ya Bahrain ya kuidhinisha kifungo cha maisha jela dhidi ya shakshia mashuhuri wa kidini na kisiasa nchini humo, Sheikh Ali Salman.

  • Mahakama ya DRC yathibitisha kuwa Tshisekedi ndiye mshindi halali wa urais

    Mahakama ya DRC yathibitisha kuwa Tshisekedi ndiye mshindi halali wa urais

    Jan 20, 2019 04:31

    Mahakama ya Katiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemtangaza Felix Tshisekedi kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika Disemba 30 mwaka uliomalizika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS