-
Ghalibaf: Sayyid Hassan Nasrullahh ameuawa shahidi katika njia ya ukombozi wa Quds
Sep 29, 2024 06:10Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon ameuawa shahidi katika njia takatifu ya kuupigania Uislamu na ukombozi wa Quds.
-
Qalibaf: Utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena umeonesha dhati yake ya kijinai
Aug 04, 2024 07:24Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, jinai za utawala wa Kizayuni katika miji ya Beirut na Tehran na kuendelea kuwaua watoto huko Ghaza, kwa mara nyingine tena zimewaonesha walimwengu dhati halisi ya kijinai, ukatili na ubeberu wa dola hilo pandikizi.
-
Spika wa Bunge la Iran: Utawala wa Kizayuni utalipa gharama ya jinai yake
Aug 01, 2024 11:19Katika kujibu mauaji ya mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas mjini Tehran, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel utalipa gharama kubwa ya chokockoko zake katika ardhi ya Iran.
-
Hafla ya kuapishwa Rais wa Iran kufanyika leo
Jul 30, 2024 07:40Hafla ya kuapishwa Rais mpya wa Iran inafanyika leo katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge).
-
Rais mteule wa Iran ashiriki katika kikao cha wazi cha Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge)
Jul 21, 2024 12:22Masoud Pezeshkian Rais mteule wa Iran leo ameshiriki katika kikao cha wazi cha Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) na kusisitiza kutatuliwa matatizo ya wananchi kupitia uratibu, maelewano na ushirikiano.
-
Wabunge wamchagua Qalibaf kuwa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge)
May 28, 2024 08:18Wawakilishi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) wamemchagua Muhammad Bagheri Qalibaf kuwa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu katika mkutano wa kwanza wa bunge la 12.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bunge linapaswa kuleta utulivu na matumaini
May 27, 2024 08:14Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika ujumbe wake kwa mnasaba wa kuanza kazi Awamu ya 12 ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge), amesisitiza kuhusu kuwepo Bunge lenye uwiano, mwingiliano wenye nidhamu na mshikamano na mihimili mingine ya dola na pia ndani yake liwe lenye usahihi na subira.
-
Uwezo wa kisheria wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kikabiliana na matukio yasiyotabirika
May 22, 2024 08:30Kuanza kazi kwa awamu ya 6 ya Baraza la Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na kuainishwa tarehe 28 June kuwa tarehe ya kufanyika uchaguzi mpya wa Rais nchini kunaonyesha wazi uwezo mkubwa wa kisheria wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kukabiliana na matukio yanayojitokeza katika nyakati tofauti.
-
Utayari wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iran wa kuendesha duru ya pili ya Uchaguzi wa Bunge
May 07, 2024 02:14Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran ametangaza utayarifu wa wizara hiyo wa kuendesha duru ya pili ya uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) siku ya Ijumaa ya tarehe 10 Mei.
-
Spika ya Majlisi ya Iran: Utamaduni wa kufa shahidi unawatia hofu maadui
Feb 02, 2024 02:42Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameeleza kuwa utamaduni wa kufa shahidi unawatia hofu maadui.