Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

makombora ya Iran

  • Jerusalem Post: Israel imeshtushwa na kasi ya Iran ya kujiimarisha upya kijeshi

    Jerusalem Post: Israel imeshtushwa na kasi ya Iran ya kujiimarisha upya kijeshi

    Aug 15, 2026 03:53

    Gazeti la kizayuni la Jerusalem Post limefichua kuwa, maafisa wa ulinzi wa Israel wameshtushwa na namna Iran ilivyojenga upya na kwa kasi uwezo wake wa kijeshi tangu baada ya mashambulizi makali ya Marekani na utawala huo wa kizayuni wakati wa kipindi cha mwanzoni mwa vita vya kichokozi vilivyoanzishwa na tawala mbili hizo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Ripoti: Iran inadhihirisha uwezo unaoongezeka wa kushambulia shabaha za kijeshi za US kupitia operesheni za pamoja

    Ripoti: Iran inadhihirisha uwezo unaoongezeka wa kushambulia shabaha za kijeshi za US kupitia operesheni za pamoja

    Jul 29, 2026 02:59

    Iran imeonyesha uwezo unaoongezeka wa kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani kote Asia Magharibi kwa kuchanganya ndege zisizo na rubani za mashambulizi na makombora ya kisasa ya balestiki. Hii ni kwa mujibu wa ripoti iliyomnukuu ripoti afisa wa ngazi ya juu wa Marekani.

  • IRGC yashambulia kambi za Marekani huko Kuwait, Bahrain baada ya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani katika ardhi ya Iran

    IRGC yashambulia kambi za Marekani huko Kuwait, Bahrain baada ya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani katika ardhi ya Iran

    Jun 06, 2026 11:24

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa limeshambulia kambi mbili za anga za Marekani huko Kuwait na vituo vilivyobaki vya Kikosi cha Tano cha Marekani (US Fifth Fleet) huko Bahrain ili kujibu uchokozi wa hivi karibuni wa Marekani.

  • IRGC: Tumewavurumishia maadui makombora 700, droni 3,600 mpaka sasa

    IRGC: Tumewavurumishia maadui makombora 700, droni 3,600 mpaka sasa

    Mar 17, 2026 03:38

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limesema limepiga shabaha za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa makombora zaidi ya 700 na ndege zisizo na rubani 3,600 tangu Jamhuri ya Kiislamu ianzishe operesheni za kulipiza kisasi cha mashambulizi ya kichokozi ya maadui hao mwishoni mwa Februari mwaka huu.

  • Jen. Mousavi: Iran imeivurumishia Israel makombora 30 ya balestiki

    Jen. Mousavi: Iran imeivurumishia Israel makombora 30 ya balestiki

    Mar 14, 2026 03:48

    Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC amesema asilimia kubwa ya makombora 30 ya balestiki yaliyovumishwa na Jamhuri ya Kiislamu usiku wa Lailatul Qadr yalipiga shabaha zilizokusudiwa kwa usahihi mkubwa.

  • Nini maana ya Marekani kushindwa kistratejia?

    Nini maana ya Marekani kushindwa kistratejia?

    Mar 09, 2026 09:02

    Kwa nini Marekani inakaribia kushindwa kistratejia? Jibu la swali hili linapatika katika utambulisho wa vita vya sasa vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Meja Jenerali Mousavi: Tumeimarisha uwezo wa makombora yetu

    Meja Jenerali Mousavi: Tumeimarisha uwezo wa makombora yetu

    Feb 05, 2026 23:26

    Afisa mwandamizi wa Jeshi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imeimarisha mifumo yake ya kujilinda kwa kuboresha makombora ya balestiki yaliyotengenezwa ndani ya nchi.

  • "Uwezo wa makombora ya Iran umeimarika, tayari kukabili adui"

    Dec 23, 2025 23:10

    Msemaji wa Jeshi la Iran amesema kwamba, uwezo wa vikosi vya majini, ardhini, na makombora vya Jamhuri ya Kiislamu viko tayari kikamilifu kukabiliana na senario yoyote tarajiwa ya adui, akisisitiza kwamba Tehran bado haijatumia nguvu yake halisi ya makombora.

  • Iran yazindua makombora ya Emad, Ghadr yaliyoboreshwa

    Iran yazindua makombora ya Emad, Ghadr yaliyoboreshwa

    Oct 19, 2025 03:06

    Kikosi cha Wanaanga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimezindua makombora yaliyoboreshwa ya Emad na Ghadr katika miji ya makombora ya chini ya ardhi.

  • Mji wa Bat Yam umekuwa kama Gaza baada ya mashambulizi ya makombora ya Iran dhidi ya Israel

    Mji wa Bat Yam umekuwa kama Gaza baada ya mashambulizi ya makombora ya Iran dhidi ya Israel

    Jun 30, 2025 07:57

    Gazeti la Israel la lugha ya Kiibrania limeripoti kuwa mji wa Bat Yam katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) sasa unafanana na maeneo yaliyoathiriwa na vita ya Ukanda wa Gaza baada ya mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran dhidi ya utawala wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS