-
Iran yaboresha uwezo na kasi ya makombora yake ya baharini
Apr 21, 2020 08:11Kamanda wa Kikosi cha Baharini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC amesema kikosi hicho kimeunda makombora yenye uwezo mkubwa zaidi, yanayoweza kupiga umbali wa kilomita 700.
-
Pentagon: Uwezo wa makombora wa Iran ndio mkubwa zaidi M/Kati
Nov 20, 2019 07:06Utafiti uliofanywa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) unaonyesha kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo nchi yenye uwezo mkubwa zaidi katika uga wa makombora ya balistiki katika eneo la Asia Magharibi.
-
Iran: Hatutojadiliana na yeyote kuhusu uwezo wetu wa makombora
Jul 17, 2019 07:26Msemaji wa Ofisi ya Uwakilishi ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitafanya mazungumzo na yeyote kuhusu makombora yake ya kujihami.
-
Russia: Iran ina haki ya kuimarisha teknolojia yake ya makombora
Feb 13, 2019 03:08Serikali ya Russia imesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran in haki ya kuimarisha teknolojia yake ya makombora.
-
Iran Itaendelea na shughuli zake za makombora ya kujihami
Feb 09, 2019 03:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi yasiyo na msingi ya watawala wa Marekani kuhusu mpango wa Iran wa kurusha satalaiti katika anga za mbali na makombora na kusema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haitafanya mazungumzo kuhusu makombora yake ya kujihami.
-
Baqeri: Vitisho havitaishurutisha Iran ifanye mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora
Feb 07, 2019 22:38Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vitisho vya adui haviwezi kuifanya Iran isalimu amri na kusitisha jitihada zake za kustawisha uwezo wake wa makombora.
-
Jeshi la Iran lazindua 'drones' na makombora mapya
Jan 30, 2019 14:39Sambamba na kukaribia maadhimisho ya miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua silaha mpya za kijeshi, yakiwemo makombora ya kisasa na ndege zisizokuwa na rubani (drone).
-
'Iran haishughulishwi na makelele ya Marekani; itaimarisha majaribio ya makombora yake'
Dec 22, 2018 03:03Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, SEPAH, limeapa kuwa litaendelea na majaribio na utafiti wake wa makombora kwa kasi zaidi ya huko nyuma na litapuuza mashinikizo na vikwazo vya Marekani.
-
Zarif amshangaa Netanyahu kwa kusifia makombora mapya ya Israel
Dec 18, 2018 15:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali kitendo cha Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel cha kuonesha majivuno na kusifia makombora mapya ya utawala huo wa Kizayuni.
-
Zarif: Iran katu haitafanya mazungumzo kuhusu makombora yake
Dec 15, 2018 14:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesisitiza kwa mara nyingine kuwa, Iran haitafanya mazungumzo kuhusu makombora yake ya kujihami.