-
Iran yafanyia majaribio kombora jipya la balistiki
Sep 23, 2017 04:38Iran imefanyia majaribio yaliyofana kombora lake jipya la masafa marefu la balistiki linalojulikana kama Khorramshahr, masaa machache tu baada ya kulizindua katika gwaride la kijeshi mjini Tehran.
-
Korea Kaskazini yavurumisha makombora ya balistiki
Aug 26, 2017 02:31Korea Kaskazini imevurumisha makombora matatu ya masafa mafupi ya balistiki kuelekea pwani yake ya kaskazini.
-
Iran yafanyia majaribio makombora ya Neze’at-10 kwenye luteka ya 'Baitul Muqaddas 28'
May 22, 2016 11:51Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limefanyia majaribio makombora mawili yaliyopewa jina la Neze'at-10 katika mazoezi ya kijeshi yanayoendelea katikati mwa nchi.
-
Dehqan: Katu Iran haitasita kufanyia majaribio makombora
May 10, 2016 00:43Wizara ya Ulinzi ya Iran imesema katu Jamhuri ya Kiislamu haitachoka kujiimarisha kiulinzi na kusisitiza kuwa haina nia au mpango wa kuacha kuyafanyia majaribio makombora yake.
-
Iran yafanyia majaribio kombora la balistiki
May 09, 2016 10:49Iran hivi karibuni ilifanyia majaribio kombora la balistiki lenye uwezo wa kuruka masafa ya kilomita 2,000 na kulenga shabaha kwa ustadi mkubwa.
-
Zarif: Hatuna cha kujadili kuhusu makombora ya Iran
Apr 10, 2016 03:21Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema katu Jamhuri ya Kiislamu haiwezi kufanya aina yoyote ya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora.
-
Kerry atafakari kabla ya kutamka 'upuuzi' kuhusu Iran
Apr 09, 2016 11:37Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Hussein Dehqan amemtaka Waziri wa Mambo ya Nje ya wa Marekani John Kerry kutafakari kabla ya kutamka maneneo ya “kipuuzi” kuhusu masuala ya kijeshi na kiulinzi ya Iran.
-
Russia: Hakuna uhusiano wowote baina ya makombora ya Iran na makubaliano ya nyuklia
Mar 12, 2016 11:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, miradi ya makombora ya Iran haina uhusiano wowote na kadhia ya nyuklia ya nchi hiyo.
-
Iran: Kona zote za Israel zinaweza kufikiwa na makombora yetu
Mar 09, 2016 04:22Meja Jenerali Mohammad Ali Jafari, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC, amesema maeneo yote ya ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel yanaweza kufikiwa na makombora ya Jamhuri ya Kiislamu.