-
Mutharika: Sishangazwi na walioeneza uvumi eti nimekufa
Oct 16, 2016 13:43Rais Peter Mutharika wa Malawi amevunja kimya chake kuhusu uvumi ulioenea kwa siku kadhaa nchini humo kuwa ameaga dunia na kusema kuwa walioneza habari hizo za urongo ni wapuuzi.
-
Aliyenajisi mabinti 100 Malawi kufungwa jela maisha?
Aug 06, 2016 03:54Mahakama moja nchini Malawi imemnyima dhamana mwathirika wa virusi vya HIV aliyewanajisi mabinti wadogo zaidi 100 kwa madai ya kuwasafisha na kuwafanyia tambiko la kimila na kiutamaduni.
-
Serikali ya Malawi yataka kuchukuliwa hatua za haraka kukabiliana na ukame na njaa
Aug 01, 2016 13:33Serikali ya Malawi imesisitiza kuwa, kuna haja ya kuchukuliwa hatua za haraka kwa ajili ya kukabiliana na ukame na njaa nchinio humo.
-
Polisi ya Malawi yamkamata 'Fisi' aliyenajisi watoto, Rais Mutharika aamuru achunguzwe
Jul 26, 2016 16:55Polisi ya Malawi imemtia nguvuni 'fisi' aliyekuwa akiwanajisi watoto wadogo kwa madai ya kuwasafisha au kuwafanyia tambiko la kimila na kiutamaduni.
-
Watu milioni 8 wanahitajia msaada wa chakula Malawi
May 26, 2016 04:26Serikali ya Malawi imesema kuwa, zaidi ya watu milioni 8 wanahitajia msaada wa chakula nchni humo.
-
Watu wenye ulemavu wa ngozi Malawi katika hatari ya kuangamizwa kikamilifu
May 01, 2016 14:26Watu wenye ulemavu wa ngozi au albino nchini Malawi wanakabiliwa na hatari ya kuangamizwa kikamilifu kutokana na kuongezeka vitendo vya hujuma dhidi yao nchini humo.