-
Kumalizika operesheni ya kijeshi Tripoli; Libya yaingia tena kwenye mgogoro
May 14, 2025 02:41Wizara ya Ulinzi ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya imetangaza kumalizika kwa mafanikio operesheni ya kijeshi huko Tripoli mji mkuu wa nchi hiyo.
-
RSF yaua na kujeruhi makumi ya raia wa Sudan Kordofan Kusini
Apr 03, 2025 02:32Kwa akali raia 12 wa Sudan wameuawa katika mashambulizi ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika Jimbo la Kordofan Kusini.
-
Jeshi la Sudan: Tumevunja mzingiro wa RSF Khartoum
Jan 25, 2025 11:35Jeshi la Sudan limetangaza habari ya kufanikiwa kuvunja 'mzingiro' uliowekwa na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) dhidi ya Kamandi Kuu ya jeshi hilo katikati mwa Khartoum, mji mkuu wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Mapigano mapya yaripotiwa katika maeneo kadhaa ya Sudan
Jun 03, 2024 11:27Watu kadhaa wanahofiwa kuuawa na kujeruhiwa baada ya kuzuka mapigano mapya kati ya Jeshi la Sudan (SAF) na kundi la waasi wanaojulikana kama Kikosi cha Usaidizi wa Haraka (RSF) katika maeneo tofauti ya Sudan.
-
IDMC: Kuna ongezeko kubwa la ukimbizi wa ndani unaosababishwa na migogoro duniani
May 15, 2024 06:58Ripoti mpya ya Kituo cha Ufuatiliaji wa Ukimbizi wa Ndani (IDMC) inaonyesha kuwa migogoro na ghasia duniani zimesababisha ongezeko lisilo na kifani la idadi ya wakimbizi wa ndani kufikia mwisho wa 2023.
-
Watu 11 wauawa katika mapigano ya kikabila magharibi ya DRC
Feb 01, 2024 11:11Watu wasiopungua 11 wameuwa baada ya kuibuka mapigano makali ya kikabila katika mkoa wa Mai-Ndombe, magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Mapigano nchini Sudan yapanuka hadi Wad Madani, maelfu ya watu wahama makazi yao
Dec 17, 2023 11:21Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vinapigana na Jeshi la Sudan nje ya mji wa Wad Madani katika Jimbo la Al-Jazira (katikati mwa Sudan) na kwamba mapigano hayo yamelazimisha maelfu ya raia kukimbia makazi yao na kuelekea maeneo salama.
-
RSF yadai kwamba imeua wanajeshi 260 wa Sudan
Aug 23, 2023 10:21Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) vimedai kuwa vimewaua mamia ya askari wa vikosi vya Jeshi la Sudan, huku mapigano baina ya pande mbili hizo yakishtadi.
-
Ujumbe wa ECOWAS waondoka Niger bila kukutana na kiongozi wa mapinduzi
Aug 04, 2023 12:09Ujumbe wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) umeondoka katika mji mkuu wa Niger, Niamey bila kukutana na kiongozi wa mapinduzi, Jenerali Abdourahmane Tchiani, huku rais aliyeondolewa madarakani, Mohamed Bazoum akitoa wito kwa jamii ya kimataifa kusaidia kurejesha utawala wa kikatiba.
-
Waliouawa katika mapigano ya Sudan wapindukia 3,000
Jun 18, 2023 07:33Wizara ya Afya ya Sudan imetangaza kuwa, idadi ya watu waliouawa katika mapigano yanayoendelea kushuhudiwa nchini humo ni zaidi ya elfu tatu.