-
UN: Zaidi ya 100 wameuawa katika mapigano Darfur Kaskazini, Sudan
Jun 16, 2023 07:42Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema watu zaidi ya 100 wameuawa kwenye mapigano katika jimbo la Darfur Kaskazini, magharibi mwa Sudan.
-
Kadhaa wauawa katika mapigano ya kikabila Sudan Kusini
Jun 09, 2023 01:24Watu wasiopungua 13 wameuawa katika mapigano mapya ya kikabila katika nchi ya Sudan Kusini.
-
Watoto 30 wameaga dunia hospitalini kutokana na mgogoro wa Sudan
May 26, 2023 10:08Makumi ya watoto wachanga wa kuzaliwa wameaga dunia wakiwa hospitalini tangu vita vipya viibuke nchini Sudan mwezi uliopita, huku mapigano hayo yakiendelea kwa wiki ya sita sasa licha ya makubaliano ya usitishaji vita.
-
Makubaliano ya awali ya pande zinazozozana Sudan kwa ajili ya kusitisha mapigano
May 13, 2023 07:22Hatimaye baada ya siku tatu za mazungumzo magumu ya kurudisha amani nchini Sudan, pande mbili zinazohasimiana zimetia saini taarifa na kukubaliana kuwa maslahi ya watu wa nchi hiyo yapewe kipaumbele. Pande hizo zimekubali kuchukua hatua zote za lazima ili kutowadhuru raia na kuwaruhusu waondoke kwenye maeneo yenye mapigano na yaliyozingirwa.
-
Jibu na hatua za serikali ya India dhidi ya uasi uliozuka katika majimbo manane ya nchi hiyo
May 09, 2023 01:23Uasi katika jimbo la Manipur umeilazimisha serikali ya India kutuma vikosi vya uchukuaji hatua za haraka na kuweka marufuku ya kutotoka nje katika miji minane tofauti ya nchi hiyo.
-
Onyo la Umoja wa Mataifa kuhusu kusambaratika hali ya kibinadamu nchini Sudan
May 02, 2023 07:34Martin Griffiths, mkuu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kabla ya kuelekea nchini Sudan kwamba hali ya kibinadamu nchini humo ni mbaya sana kiasi kwamba imefikia kwenye hatua ya kusambaratika kabisa. Amesema, utatuzi wa mgogoro wa Sudan hauwezi kupatikana kutokana na kuendelea vita hivyo.
-
Zaidi ya watu 180 wameuawa katika mapigano Sudan
Apr 18, 2023 07:05Takriban watu 185 wameuawa na wengine 1,800 kujeruhiwa katika mapigano ambaye yanaendelea kwa muda wa siku nne sasa kati ya pande zinazohasimiana nchini Sudan. Hayo ni kwa mujibu wa mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan huku jamii ya kimataifa ikitoa wito kwa pande hasimu kusitisha mapigano.
-
Juhudi za kufanya mapinduzi nchini Sudan
Apr 16, 2023 13:23Nchini Sudan hali si shwari ambapo habari kutoka nchini humo zinaonyesha kuendelea mapigano kati ya jeshi la Sudan na vikosi vya radiamali ya haraka na kuzusha wasiwasi wa kutokea mapinduzi katika nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Makumi ya watu wauawa katika mapigano kaskazini mwa Somalia
Mar 03, 2023 12:10Raia wasiopungua 210 wameuawa katika mapigano yaliyotokea huko Somaliland (eneo linalojitenga kaskazini mwa Somalia), kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya makundi yanayoiunga mkono serikali ya Mogadishu na wapiganaji wanaotaka kujitenga. Mapigano hayo yanaendelea tangu siku 24 zilizopita katika eneo hilo.
-
14 wauawa, kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila nchini Sudan
Oct 16, 2022 11:33Kwa akali watu watano wameuawa huku wengine tisa wakijeruhiwa katika mapigano mapya ya kikabila katika eneo la Kordofan Magharibi nchini Sudan.