-
Wayemen wapinga kuwepo Wamarekani katika Bahari Nyekundu
Aug 19, 2023 22:56Vyombo vya habari vya Yemen vimeripoti kuwa, upinzani wa wananchi wa kusini mwa nchi hiyo dhidi ya uwepo wanajeshi wa Marekani katika Bahari Nyekundu na kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo umeshika kasi zaidi.
-
"Kupanga mapinduzi, kuwaunga mkono madikteta ni katika sera za UK, US"
Aug 19, 2023 07:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kupanga na kufadhili mapinduzi, kuingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine na kuwaunga mkono madikteta ni katika sera kuu za Marekani na Uingereza katika kipindi chote cha historia.
-
Sababu za Marekani kurudisha kundi la kigaidi la Daesh nchini Syria
Aug 19, 2023 04:48Kundi la kigaidi la Daesh au jina jingine ISIS, limezidisha mashambulizi yake katika ardhi ya Syria. Syria na Iran zimeshuhudia mashambulizi ya kigaidi ya kundi hilo katika wiki za hivi karibuni. Kuna dalili za kutosha zinazothibitisha kwamba Marekani ndiyo inayochochea mashambulizi hayo.
-
Kushindwa siasa za kibeberu za Marekani nchini Afghanistan
Aug 17, 2023 22:54Serikali ya kundi la Taliban nchini Afghanistan imesema kuwa njama za wavamizi na madola ya kibeberu zitashindwa tu nchini humo.
-
Kuendelea Marekani kulitumia vibaya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Aug 17, 2023 09:37Serkali ya China imepinga ombi la Marekani na baadhi ya waitifaki wake la kuitishwa kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Korea Kaskazini.
-
Pyongyang: Askari wa US alitorokea Korea Kaskazini kutokana na ubaguzi
Aug 16, 2023 23:43Serikali ya Pyongyang imesema askari Mmarekani mwenye asili ya Afrika alitorokea Korea Kaskazini kutokana na vitendo vya ubaguzi wa rangi na dhulma alizokuwa akishuhudia ndani ya jeshi la Marekani.
-
Onyo kuhusu ongezeko kubwa la itikadi kali za kisiasa nchini Marekani
Aug 15, 2023 23:20Wakati kesi ya Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ikiendelea sambamba na kuandaliwa uchaguzi wa rais wa nchi hiyo wa mwaka 2024, wataalamu wametahadharisha kuhusu ongezeko kubwa la misimamo mikali ya kisiasa miongoni mwa Wamarekani.
-
Raisi: US, nchi za Ulaya zilipanga ghasia za mwaka jana Iran
Aug 15, 2023 04:26Rais wa Iran ameikosoa Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya kwa kuratibu machafuko yaliyoshuhudiwa mwaka jana hapa nchini Iran kwa kisingizo cha kifo cha Mahsa Amini.
-
Kan'ani: Kuwashambulia mazuwari wasio na hatia ni kitendo cha jinai
Aug 14, 2023 10:27Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema: Kuwashambulia mazuwari wasio na hatia katika haram ya Ahlul Bayt ni kitendo cha kijinai.
-
Kukataa Misri ombi la Marekani la kuipa silaha Ukraine
Aug 13, 2023 07:01Misri imekataa ombi la Marekani la kuipa silaha Ukraine ikiwa ni katika sehemu ya mkakati wa Cairo ya kutopendelea upande wowote kwenye vita vya Ukraine na Russia.