-
Kuanza Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi huko Glasgow; shaka na mazingatio katika mkutano huo
Nov 03, 2021 07:48Mkutano kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi wa Umoja wa Mataifa (COP26) ulianza shughuli zake juzi Jumatatu katika mji wa Glasgow nchini Scotland kwa kuhudhuriwa na wakuu wa nchi zaidi ya 100 na viongozi wengine wa ngazi za juu wa nchi mbalimbali duniani.
-
Boris Johnson ajiunga na Biden, watwanga usingizi katikati ya mkutano wa tabianchi, Glasgow
Nov 03, 2021 07:18Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amejiunga na Rais wa Marekani Joe Biden na kutwanga usingizi mfupi wakati wa vikao vya Mkutano wa Hali ya Hewa unaofanyika Glasgow huko Scotland.
-
Khatibzadeh: Vitisho haviwezi kuzaa matunda mbele ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Nov 03, 2021 04:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameandika katika mtandao wa kijamii wa Twitter kujibu matamshi ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Antony Blinken aliyedai kuwa Washington inatafuta machaguo mengine ya kukabiiana na Iran na ameandika: Vitisho kamwe havijawahi kuzaa matunda mbele ya Iran.
-
Mazungumzo ya Biden na Macron, juhudi za Washington za kuimarisha uhusiano na Paris
Oct 31, 2021 07:05Ijumaa Rais Joe Biden wa Marekani alikutana na kuzungumza na mwenzake wa Ufaransa Rais Emmanuel Macron kuhusu mkataba wa mauzo ya nyambizi kati ya Washington na Canberra, ambao umeikasirisha sana Paris.
-
Iran yalaani vikwazo vipya ilivyowekewa na Marekani
Oct 30, 2021 04:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikwazo vipya vilivyowekwa na Marekani na akasema mashinikizo na vikwazo hivyo havitateteresha hata chembe azma ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kulinda amani na usalama wa watu wake.
-
Taliban yatoa indhari juu ya hatari ya kuanzishwa vituo vya kijeshi vya Marekani na NATO katika eneo
Oct 30, 2021 03:53Taliban imetahadharisha kuwa, kuanzishwa vituo vya kijeshi vya Marekani na vya shirika la kijeshi la Magharibi NATO katika nchi jirani ni hatari kwa mataifa yote.
-
China; changamoto kubwa zaidi ya Marekani ya 'jeostratijia'
Oct 29, 2021 05:14Mkuu wa majeshi ya Marekani, Mark Milley amesema kuwa, ametiwa wasiwasi na jaribio la hivi karibuni la kombora la kisasa la China linalozidi kasi ya sauti.
-
Riyadh yaomba msaada wa silaha wa Marekani ili kukabiliana na mashambulizi ya jeshi la Yemen
Oct 29, 2021 00:17Ripoti imefichua kuwa Saudi Arabia imeiomba Marekani iipatie silaha ili iboreshe mifumo yake ya makombora na hivyo kuweza kukabiliana na mashambulizi ya jeshi la Yemen.
-
Uchunguzi wa maoni: Akthari ya wanajeshi wa Marekani hawako tayari kuingia vitani
Oct 27, 2021 22:49Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa ndani ya jeshi la Marekani unaonyesha kuwa, ni mtu mmoja pekee kati ya kila wanajeshi saba ndiye yuko tayari kuelekea vitani.
-
Mwito wa Imran Khan wa kuitaka Marekani iache kuzikalia mali za Afghanistan
Oct 27, 2021 22:45Waziri Mkuu wa Pakistan, Imran Khan ameitaka Marekani iache kuzikalia mali za Afghanistan na irejeshe mali hizo zinazoshikiliwa na mabenki ya Marekani.