-
"Siasa za Marekani dhidi ya Iran zimefeli"
Jul 07, 2019 22:12Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, siasa za serikali ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimefeli.
-
Hamas yaapa kudumaza mpango wa Trump wa "Muamala wa Karne"
Jul 06, 2019 21:54Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa itaendeleza harakati za kupinga mpango eti wa amani uliozusha makelele mengi wa Rais Donald Trump wa Marekani baina ya utawala haramu wa Israel na Wapalestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne"
-
Afrika Kusini: Hatutaruhusu uchumi wetu udumazwe na wivu wa Marekani
Jul 06, 2019 08:25Rais wa Afrika Kusini amesema nchi hiyo kamwe haitaruhusu uchumi wake uvurugwe na kurejeshwa nyuma kutokana na vita vya kibiashara vya Marekani, vilivyochechewa na wivu.
-
Ukosoaji wa Russia kuhusu mkinzano uliopo kati ya shaari na hatua za Ulaya katika kulinda makubaliano ya JCPOA
Jul 06, 2019 07:19Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza ambazo ni nchi wanachama wa Ulaya katika kundi la 4+1 mara kwa mara zimekuwa zikisisitiza juu ya ulazima wa kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA; na hata kudai kuwa zimeanzisha mfumo maalumu kwa lengo hilo. Pamoja na hayo, shaari na nara zinaotolewa na pande hizo za Ulaya zinakinzana na matendo yao.
-
Wasaudia waendelea kulalamikia kualikwa mwanamuziki mcheza uchi nchini mwao
Jul 05, 2019 10:42Wanaharakati wengi wa mitandao ya kijamii na wananchi wa Saudi Arabia wamekasirishwa mno na kualikwa mwanamuziki mmoja wa RAP wa Kimarekani katika tamasha la muziki la mjini Jeddah.
-
Mpango wa Muamala wa Karne, Palestina yakataa upatanishi wa Marekani
Jul 05, 2019 02:36Wiki mbili tu baada ya mkutano wa utangulizi wa kutekeleza mpango uliopewa jina la "Muamala wa Karne" huko Manama nchini Bahrain, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, Palestina haikubali upatanishi wa Marekani katika kadhia ya Palestina.
-
Kuongezeka uingiliaji wa kigeni nchini Libya; takwa la kufanyika uchunguzi kuhusu uwepo wa silaha za Marekani
Jul 04, 2019 03:32Sanjari na kushadidi vita na mapigano nchini Libya, uingiliaji wa kigeni katika nchi hiyo nao umeongezeka.
-
Abbas apinga upatanishi wa Marekani katika mgogoro wa Palestina
Jul 04, 2019 02:14Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa Palestina haiwezi kukubali upatanishi wa Marekani kati yake na utawala haramu wa Israel.
-
Kushadidi makabiliano ya kibiashara baina ya Marekani na Ulaya
Jul 03, 2019 03:00Rais Donald Trump wa Marekani kivitendo ameingia katika vita vya kibiashara na akthari ya madola makubwa kiuchumi uulimwenguni.
-
Palestina: Kikao cha Manama kinaashiria kufeli utawala wa Trump
Jun 30, 2019 03:38Msemaji wa Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema mkutano wa Marekani uliofanyika siku chache zilizopita katika mji mkuu wa Bahrain, Manama kwa shabaha ya kuzindua Muamala wa Karne umeonesha ni jinsi gani sera na mipango batili ya utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani imefeli.