Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Maafisa wa Tume ya Uchaguzi DRC wakanusha madai ya ufisadi ya Marekani

    Maafisa wa Tume ya Uchaguzi DRC wakanusha madai ya ufisadi ya Marekani

    Mar 24, 2019 03:05

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo CENI, Corneille Nangaa pamoja na maafisa wengine wawili wa ngazi za juu wa tume hiyo wamekanusha vikali madai ya Marekani kwamba walihusika katika ufujaji wa fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya uchaguzi uliopita nchini humo.

  • Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran; na bwabwaja za Mike Pompeo

    Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran; na bwabwaja za Mike Pompeo

    Mar 23, 2019 21:56

    Kutekeleza siasa za kuyawekea vikwazo mataifa mengine hususan wapinzani na mahasimu wa Marekani, ni moja ya nguzo kuu za siasa za kigeni za Washington katika duru ya uongozi ya Rais Donald Trump.

  • Venezuela: Mustakbali wa Trump na Pence upo hatarini

    Venezuela: Mustakbali wa Trump na Pence upo hatarini

    Mar 23, 2019 09:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amesisitizia umuhimu wa kuondolewa madarakani Rais Donald Trump wa Marekani na Mike Pence, Makamu wake wa Rais.

  • Indhari mpya ya Marekani dhidi ya Venezuela; njama ya Washington ya kushadidisha mashinikizo dhidi ya Rais Maduro

    Indhari mpya ya Marekani dhidi ya Venezuela; njama ya Washington ya kushadidisha mashinikizo dhidi ya Rais Maduro

    Mar 23, 2019 03:16

    Katika miaka mitatu ya hivi karibuni, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake huko Venezuela, imechukua hatua zenye lengo la kuiangusha serikali ya mrengo wa kushoto ya Rais Nicolas Maduro.

  • Syria: Marekani ndio tishio la usalama na amani ya kimataifa

    Syria: Marekani ndio tishio la usalama na amani ya kimataifa

    Mar 22, 2019 20:00

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria sambamba na kulaani vikali matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel, imesema kuwa siasa za kupenda kujitanua na za mabavu za Washington, ndio sababu kuu ya kuibuka ghasia na tishio kwa usalama na uthabiti wa kimataifa.

  • Sayyid Khatami: Malengo ya Marekani Asia Magharibi Mpya ni kuidhibiti Iraq, Syria na Lebanon

    Sayyid Khatami: Malengo ya Marekani Asia Magharibi Mpya ni kuidhibiti Iraq, Syria na Lebanon

    Mar 22, 2019 10:22

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, malengo ya Marekani katika kubuni Asia Magharibi Mpya, ni kuzidhibiti Iraq, Syria na Lebanon na amesisitiza kwamba, si tu Washington haitoweza kufikia malengo yake hayo haramu, lakini pia njama hizo zimepelekea kuundika muqawama imara dhidi ya wavamizi hao.

  • Kukariri Trump porojo lake katika ujumbe wa Nowruz kwa Wairani

    Kukariri Trump porojo lake katika ujumbe wa Nowruz kwa Wairani

    Mar 22, 2019 03:12

    Rais wa Marekani Donald Trump, tangu kwenye kampeni zake za uchaguzi wa rais na mpaka baada ya kuingia Ikulu ya White House Januari 2017, amekuwa akitumia lugha kali na maneno machafu dhidi ya Iran, kwa lengo la kuudhoofisha na kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Naibu Spika wa Ujerumani ataka balozi wa Marekani nchini humo afukuzwe

    Naibu Spika wa Ujerumani ataka balozi wa Marekani nchini humo afukuzwe

    Mar 19, 2019 23:02

    Naibu Spika wa Bunge la Ujerumani ametoa mwito wa kutimuliwa nchini humo balozi wa Marekani kutokana na kile alichokitaja kuwa uingiliaji wake wa masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Ulaya.

  • Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq: Marekani haina ruhusa ya kutumia ardhi ya Iraq dhidi ya Iran

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq: Marekani haina ruhusa ya kutumia ardhi ya Iraq dhidi ya Iran

    Mar 17, 2019 21:50

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq amesisitiza kuwa, Marekani haina ruhusu ya kuzichukulia hatua nchi jirani hususan Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kupitia ardhi ya Iraq.

  • Tishio la Marekani kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC)

    Tishio la Marekani kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC)

    Mar 17, 2019 04:22

    Tokea aanze kuitawala Mareakni, Rais Donald Trump amekuwa akikosoa vikali na kuonyesha dharau kubwa kwa taasisi za kimataifa. Trump ni mkosoaji na mpinzani mkubwa wa Umoja wa Mataifa na sera za umoja huo na amekuwa akitishia mara kwa mara kuwa Marekani itapunguza msaada wake wa kifedha kwa taasisi hiyo ya kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS