-
Vita ya veto na kuongezeka mivutano kati ya kongresi na Rais wa Marekani
Mar 17, 2019 04:13Kuongezeka mivutano kati ya kongresi ya Marekani na Rais wa nchi hiyo kuhusu kadhia mbalimbali za ndani na nje kumeibua vita ya veto nchini humo.
-
Hizbulllah: Njia pekee ya kuisambaratisha mipango ya Marekani ni muqawanma
Mar 16, 2019 11:32Sheikh Ali Damush, mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, njia pekee ya kusambaratisha mipango ya Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati ni kuendeleza muqawama.
-
CAIR: Trump ndie chanzo cha hujuma za kigaidi misikitini New Zealand
Mar 16, 2019 11:09Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limesema sera za Rais Donald Trump zimechangia kuchochea hujuma za kigaidi zilizojiri katika misikiti miwili nchini New Zealand Ijumaa na kupelekea Waislamu 49 kuuawa.
-
Pompeo: Marekani itawanyima viza majaji wa mahakama ya ICC
Mar 16, 2019 01:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema kuwa, nchi hiyo itawawekea marufuku ya viza ya kuingia Marekani maafisa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai watakaotaka kuwasaili na kuwachunguza wanajeshi wa nchi hiyo wanaotuhumiwa kufanya jinai za kivita huko Afghanistan.
-
Marekani yaendeleza uhasama dhidi ya Iran, mara hii ni kwa kisingizio cha haki za binadamu
Mar 15, 2019 12:58Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetoa ripoti yake ya kila mwaka kuhusu hali ya haki za binadamu katika nchi mbalimbali na kwa mara nyingine tena imedai kuwa, hali ya haki za binadamu nchini Iran imekuwa mbaya zaidi.
-
Palestina: Ripoti ya Marekani inadhihirisha uhasama wao kwa Wapalestina
Mar 15, 2019 12:07Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imelaani vikali hatua ya Marekani ya kudondosha maneno "inayokaliwa kwa mabavu na Israel" kuashiria Miinuko ya Golan, na "maeneo ya Wapalestina yanayokaliwa kwa mabavu" katika ripoti yake mpya haki za binadamu ya kila mwaka.
-
Iran: Serikali ya Marekani ndiyo mkiukaji mkubwa kabisa wa haki za binadamu
Mar 15, 2019 03:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Serikali ya Marekani ndiyo mkiukaji mkubwa kabisa wa haki za binadamu za wananchi wa Iran, kwani kwa kuwatwisha vikwazo vyake haramu vya nje ya mipaka na vya upande mmoja, Washington haijasita kuchukua hatua yoyote ya kukanyaga haki za raia wa Iran.
-
Iran: Marekani inatumia tuhuma bandia ili kupanua soko la silaha zake
Mar 14, 2019 21:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema lengo la Marekani kuibua tuhuma zisizo na msingi na kueneza chuki dhidi ya Iran ni kupanua soko la silaha zake katika eneo la Asia Magharibi.
-
Cuba: Miamala ya Marekani dhidi ya Venezuela imetoka kwa Manazi
Mar 14, 2019 11:00Rais Miguel Díaz-Canel wa Cuba amekosoa vikali uingiliaji wa kivamizi wa Marekani nchini Venezuela na kusema kuwa, vitendo hivyo vimetoka kwa Manazi wa Ujerumani.
-
Trump apata pigo baada ya Seneti ya US kumtaka asitishe mauzo ya silaha kwa Saudia
Mar 14, 2019 10:32Kwa mara nyingine tena, Seneti ya Marekani imekosoa vikali hatua ya serikali ya Rais Donald Trump ya kuendelea kuizuia silaha zenye thamani ya mabilioni ya dola Saudi Arabia, licha ya kufahamu fika kuwa silaha hizo zinatumiwa na watawala wa Riyadh kuwaua raia wa Yemen.