-
EU yaionya Marekani isithubutu kuivamia kijeshi Venezuela
Mar 13, 2019 04:27Umoja wa Ulaya umeionya Marekani kuhusu hatari ya chokochoko zake za kutaka kuivamia kijeshi Venezuela.
-
Le Monde: Matajiri wa Marekani wanafadhili propaganda chafu dhidi ya Uislamu
Mar 12, 2019 13:03Kundi dogo la matajiri na vibopa wa Marekani linafadhili mitandao inayosambaza habari na mashambulizi na propaganda chafu zinazoenezwa kupitia mtandao wa intaneti barani Ulaya kwa ajili ya kueneza fikra za mrengo wa kulia wenye misimamo mikali na kuchochea uadui dhidi ya Uislamu na matukufu yake.
-
Zarif: Marekani haiwezi kuzuia kustawi uhusiano wa Iran na Iraq
Mar 12, 2019 04:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Marekani haina uwezo wa kusimamisha uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Iraq, na kwamba serikali ya Baghdad imejenga uhusiano huo katika misingi ya matakwa na maslahi ya taifa hilo.
-
Radiamali kali ya Russia kufuatia kushtadi mashinikizo ya Marekani kwa Uturuki kuhusu ngao ya S 400
Mar 10, 2019 07:56Uhusiano wa Marekani na Uturuki katika miaka ya hivi karibuni, yaani baada ya kujiri mapinduzi ya kijeshi yaliyofeli ya tarehe 15 Julai 2016, umekuwa na mizozo mingi.
-
Kuendelea hatua za mapinduzi za Marekani dhidi ya Venezuela
Mar 10, 2019 04:03Uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela ungali unaendelea na katika hatua ya hivi karibuni kabisa, Washington imetishia kuziwekea vikwazo benki ambazo zinashirikiana na serikali ya Caracas.
-
Erdogan: Marekani imekasirishwa na Uturuki huru
Mar 10, 2019 04:01Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema Marekani inaishinikiza nchi yake iache kununua silaha za Russia kwa sababu wakuu wa Washington wamekasirishwa na sera za Ankara za kujitegemea.
-
Sisitizo la Sayyid Hassan Nasrullah la kuzishinda njama za Marekani Mashariki ya Kati
Mar 09, 2019 21:49Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon (Hizbullah) amesema kuwa mwaka 2006 Marekani ilikuwa na njama na mipango mikubwa ya kuumaliza muqawama hata hivyo njama zote hizo zimefeli kutokana na kuwa imara na kuwa macho wanamuqawama.
-
Uchunguzi: Waislamu wanabaguliwa zaidi katika jamii ya Marekani
Mar 09, 2019 21:47Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanyika nchini Marekani yanaonesha kuwa, Waislamu wanabaguliwa zaidi katika jamii ya nchi hiyo ikilinganishwa na makundi mengine ya kidini.
-
Jarida la Marekani: Trump amepelekea nchi yetu itengwe na Ulaya
Mar 09, 2019 03:46Jarida moja la nchini Marekani limemlaumu vikali rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa siasa zake mbovu za kimataifa na kusema kuwa, Trump amepelekea Marekani itengwe na nchi za Ulaya.
-
Kufichuliwa na Maduro lengo halisi la Marekani la kuingilia masuala ya ndani ya Venezuela
Mar 09, 2019 00:50Wakati mgogoro wa kisiasa ukiwa unaendelea nchini Venezuela sambamba na kuongezeka harakati za Juan Guaido, kiongozi wa wapinzani aliyejitangaza rais, za kushadidisha mgogoro huo, njama na hatua za serikali ya Marekani za kutaka kubadilisha hali ya mambo katika nchi hiyo ya Amerika ya Latini, nazo pia zimezidi kupamba moto.