-
Kuendelea siasa za mashinikizo ya Marekani dhidi ya Korea Kaskazini
Jul 22, 2018 09:16Ikiwa ni karibu mwezi mmoja umepita tangu Rais Donald Trump na Kim Jong-un wa Korea Kaskazini wakutane nchini Singapore, Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema kuwa, kabla ya kujadiliwa suala la kuondolewa vikwazo dhidi ya Pyongyang, nchi hiyo inatakiwa ipige hatua za kivitendo na kwamba kabla ya hatua hizo kupigwa, mashinikizo zaidi dhidi ya Korea Kaskazini yataongezeka.
-
China yasisitiza kukabiliana na vitisho vya kibiashara vya Marekani
Jul 21, 2018 22:56Wizara ya Mambo ya Nje ya China na katika radiamali yake juu ya vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na kuziwekea ushuru wa zaidi ya Dola bilioni 500 bidhaa za China zinazoingizwa nchi yake, imesema kuwa Beijing haitosalimu amri mbele ya mashinikizo na vitisho vya Washington.
-
Ripoti: Maelfu ya Wamarekani wanaishi katika utumwa mamboleo
Jul 21, 2018 10:08Matokeo ya uchunguzi wa kimataifa uliofanyika nchini Marekani yameonesha kuwa, Maelfu ya raia wa nchi hiyo wanaishi katika hali mbaya iliyopewa jina la "utumwa mamboleo".
-
Zarif: Silaha zinazouzwa nje na Marekani zinavuruga amani ya dunia
Jul 19, 2018 11:08Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekosoa gharama kubwa ya masuala ya kijeshi inayotumiwa na Marekani akisema suala hilo linavuruga amani na usalama wa dunia.
-
Hatua mpya ya Umoja wa Ulaya ya kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Jul 18, 2018 05:31Licha ya kuendelea vitisho vya Marekani kuhusiana na mapatano ya nyuklia ya Iran JCPOA, Umoja wa Ulaya umepitisha sheria ya kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran inayojulikana kama 'Sheria Zuizi.'
-
AEOI: Iran ipo tayari kuimarisha urutubishaji urani JCPOA ikifeli
Jul 18, 2018 02:56Behrouz Kamalvandi, Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (AEOI) amesema Tehran iko tayari kuimarisha urutubishaji urani kwa kiwango cha juu iwapo jitihada za Umoja wa Ulaya za kuyanasuru makubaliano ya nyuklia ya Iran zitagonga mwamba.
-
Marekani yazishitaki nchi tano waitifaki zilizolipiza kisasi sakata la ushuru wa biashara
Jul 17, 2018 11:58Chombo kimoja cha habari nchini Marekani kimeripoti kwamba serikali nchi hiyo imezishitaki katika Shirika la Biashara Duniani nchi tano washirika wake kutokana na hatua ya nchi hizo kulipiza kisasi cha kuzipandishia ushuru wa forodha wa bidhaa za Marekani.
-
Iran: Njama za Marekani kwa ajili ya kuzuia uuzaji nje mafuta ni ndoto
Jul 17, 2018 11:16Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Es'haq Jahangiri amesema kuwa njama za Marekani za kutaka kutuzuia uuzaji nje mafuta ya Iran ni ndoto potofu.
-
EU yapinga mashinikizo ya Marekani kuitenga Iran
Jul 17, 2018 02:39Mkuu wa sera za nje wa Umoja wa Ulaya amesema EU haiwezi kuburuzwa na Marekani na kushinikizwa kuitenga Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Zarif: Iran imeishtaki Marekani ICJ kutokana na kurejeshwa vikwazo
Jul 16, 2018 22:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imewasilisha mashtaka dhidi ya Marekani katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu kulalamikia hatua iliyo kinyume cha sheria ya Washington ya kuiwekea tena Tehran vikwazo vya upande moja.