-
Maelfu ya wananchi waandamana Mexico dhidi ya Trump
Feb 15, 2017 04:37Maelfu ya wananchi wa Mexico wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Mexico City wakitaka kuheshimiwa nchi yao na wahajiri wa nchi hiyo. Maandamano hayo yamefanyika kufuatia matamshi ya chuki na uhasama ya Rais Donald Trump wa Marekani na serikali yake dhidi ya wahajiri na Wamexico.
-
Makamu wa Rais wa Venezuela: US imeniwekea vikwazo kwa kupinga ubeberu
Feb 14, 2017 22:03Makamu wa Rais wa Venezuela, Tareck El Aissami amekosoa vikali hatua ya Marekani kumuwekea vikwazo eti kwa madai ya kuhusika na ulanguzi wa mihadarati.
-
IAEA: Hatujapokea taarifa yoyote kutoka Marekani kuhusu JCPOA
Feb 14, 2017 10:50Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), Yukia Amano, amesema taasisi hiyo haijapokea taarifa wala kufanya mawasiliano yoyote na Marekani kuhusu msimamo wa Washington juu ya makubaliano ya nyuklia ya Iran.
-
Marekani yaahidi kuipatia silaha Nigeria
Feb 14, 2017 04:10Serikali ya Nigeria imo mbioni kutafuta msaada wa silaha kwa Marekani.
-
Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani ajiuzulu kutokana na kashfa ya mawasiliano na Russia
Feb 14, 2017 04:07Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Rais wa Marekani amejiuzulu kutokana na madai kuwa alikuwa na mawasiliano na serikali ya Russia.
-
Tahadhari kuhusu njama za Marekani na Israel za kuibua mifarakano baina ya Waislamu
Feb 13, 2017 23:44Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu amesema: "Maadui wa Uislamu hasa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel wanatumia uwezo wao wote kuibua mifarakano katika ulimwengu wa Kiislamu."
-
Darul Iftaa ya Misri yakosoa chuki dhidi ya Uislamu nchini Marekani
Feb 13, 2017 00:51Idara Kuu inayohusika na Fatwa za Kiislamu ya Misri (Darul Iftaa) imekosoa vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini Marekani na kuchomwa moto vituo vya Kiislamu.
-
Kuendelea mgogoro wa Libya na uingiliaji wa kigeni ndani ya nchi hiyo
Feb 13, 2017 00:50Katika hali ambayo kwa mara ya kwanza António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ameshindwa kupasisha jina la Salam Fayyad Waziri Mkuu wa zamani wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kuwa mjumbe maalumu wa umoja huo katika masuala ya Libya, mgogoro wa nchi hiyo unaendelea kushtadi siku hadi siku huku Marekani ikiendelea kutoa pingamizi dhidi ya mwanasiasa huyo wa Palestina.
-
Palestina yaendelea kutambuliwa kimataifa, Marekani yashindwa kuitetea Israel
Feb 12, 2017 03:56Pamoja na kuwa Marekani inaendelea kuunga mkono kikamilifu utawala wa Kizayuni wa Israel, gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limeandika kuwa, balozi za Palestina zinaendelea kuongezeka duniani na hata kuzishinda zile za Israel.
-
CIA yaipa Saudia tuzo ya "kupambana na ugaidi"
Feb 11, 2017 23:29Shirika Kuu la Kijasusi Marekani (CIA) limempa tuzo Mrithi wa Kiti cha Ufalme Saudi Arabia, Mohammad bin Nayef kutokana na kile kilichotajwa kuwa ni "kazi zake za kijasusi katika vita dhidi ya ugaidi."