-
Kubadilika msimamo wa Rais wa Marekani kutokana na mashinikizo ya fikra za walimwengu
Feb 11, 2017 03:58Kwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani, Rais Donald Trump wa Marekani amekosoa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na utawala haramu wa Israel katika ardhi za Palestina, japokuwa amejaribu kutumia lugha laini na ya upole katika ukosoaji wake huo.
-
Kusimama kidete wananchi wa Yemen, sababu ya uadui wa Saudia
Feb 10, 2017 21:51Katibu Mkuu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, utawala wa Saudi Arabia unamshambulia mtu yoyote ambaye anaipinga Israel na kukabiliana na siasa za Marekani.
-
Kamanda wa Sepah: Trump ni mwanagenzi, vitisho vya Marekani havina meno
Feb 08, 2017 13:12Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (Sepah) amesema kuwa wanasiasa wa Marekani wanaelewa vyema kwamba vitisho dhidi ya Iran havina faida yoyote bali vina madhara.
-
Jeshi la Syria lawazingira magaidi wa ISIS katika mji wa Al-Bab
Feb 08, 2017 04:27Mkuu wa Ofisi ya Haki za Binaadamu nchini Syria, ameelezea kusonga mbele jeshi la Syria kwa kushirikiana na Harakati ya Hizbullah katika eneo la Al-Bab karibu na mpaka wa Uturuki, na kuzingirwa magaidi wa genge la Daesh kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Assad: Marekani kudai inapambana na Daesh huko Syria ni njozi
Feb 07, 2017 11:25Rais Bashar al-Assad wa Syria ameutaja muungano wa kijeshi wa Marekani unaodai kupambana na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh/ISIS nchini Syria kuwa ni muungano wa kinjozi na wa kuihadaa dunia.
-
Jibu la Iran kwa ukiukaji wa Marekani wa JCPOA, ni kurutubisha SWU laki moja
Feb 07, 2017 03:47Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa jibu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ukiukaji wa makubaliano ya JCPOA utakaofanywa na serikali ya Marekani litakuwa ni kurutubisha Separative Work Unit (SWU) laki moja.
-
Velayati: Marekani inafaa kuilipa fidia Iraq kwa kuivamia 2003
Feb 06, 2017 04:34Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistratejia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema serikali ya Iraq inapaswa kupigania haki ya kufidiwa na Marekani katika vyombo vya kimataifa, kutokana na uvamizi wa utawala wa Washington dhidi yake mwaka 2003.
-
Kuwait yakanusha madai ya kupiga marufuku raia wa nchi za Kiislamu
Feb 05, 2017 23:12Serikali ya Kuwait imekadhibisha habari ya tetesi iliyoenea katika baadhi ya vyombo vya habari kwamba nchi hiyo imepiga marufuku raia wa nchi kadhaa za Kiislamu kuingia nchini humo.
-
Mahakama ya Rufaa ya Marekani yakataa ombi la White House dhidi ya Waislamu
Feb 05, 2017 10:58Mahakama ya Rufaa ya Marekani imekataa ombi la Ikulu ya Rais wa nchi hiyo la kudumishwa marufuku ya kuingia raia wa nchi za Kiislamu nchini Marekani.
-
Dakta Velayati: Siasa za vitisho haziwezi kuzuia kufilisika kisiasa kwa Marekani
Feb 04, 2017 12:49Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistratejia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema kuwa, utumiaji wa siasa za vitisho unaofanywa na Marekani hauwezi kuiokoa nchi hiyo na kufilisika kisiasa.