Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Waandamanaji watajitenga na wachache wanaovuruga amani

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Waandamanaji watajitenga na wachache wanaovuruga amani

    Jan 09, 2026 13:10

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo ya mjini Tehran, Hujjatul Islam Sayyid Mohammad Hassan Abu Torabi Fard amesema, waandamanaji waelewa na wenye ghera ya uhuru na mamlaka imara ya nchi watatenganisha njia yao na ya wachache wanaoitakia mabaya nchi, wafanyao vitendo vya ukatili na kuvuruga nidhamu ya jamii; na hilo ni jambo lenye ulazima usioweza kuepukika.

  • Wacolombia waandamana kulaani vikali vitisho vya kijeshi vya Trump

    Wacolombia waandamana kulaani vikali vitisho vya kijeshi vya Trump

    Jan 08, 2026 12:42

    Maelfu ya wananchi wa wa Colombia wamefanya maandamano nchi nzima kulaani vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya nchi yao kama vile vya kuishambulia kijeshi Venezuela.

  • Wakazi wa Greenland: Tuna wasiwasi na mashinikizo ya Marekani kwa ajili ya kujimilikisha kisiwa hiki

    Wakazi wa Greenland: Tuna wasiwasi na mashinikizo ya Marekani kwa ajili ya kujimilikisha kisiwa hiki

    Jan 08, 2026 12:36

    Wakazi wa kisiwa cha Greenland wameelezea wasiwasi wao kuhusu nia ya Marekani ya kujimilikisha kisiwa hicho kikubwa katika eneo la Aktiki, huku mijadala kuhusu mamlaka ya kujitawala ardhi hiyo ikipamba moto.

  • Amri ya Trump ya kuitoa Marekani kwenye taasisi 66 za kimataifa; nembo ya kiburi cha Washington

    Amri ya Trump ya kuitoa Marekani kwenye taasisi 66 za kimataifa; nembo ya kiburi cha Washington

    Jan 08, 2026 10:06

    Ikulu ya Marekani, White House, imetangaza kuwa, Donald Trump ametoa amri ya kujitoa Marekani kwenye taasisi 66 za kimataifa ambazo Washington inadai kuwa hazitumikii tena maslahi ya Marekani.

  • Iran: Filihali sio muda mwafaka wa kufanya mazungumzo na Marekani

    Iran: Filihali sio muda mwafaka wa kufanya mazungumzo na Marekani

    Jan 08, 2026 06:36

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kwa sasa sio muda mwafaka wa kufanya mazungumzo na Marekani.

  • Russia yalaani 'uharamia' wa Marekani wa kukamata meli yake ya mafuta

    Russia yalaani 'uharamia' wa Marekani wa kukamata meli yake ya mafuta

    Jan 08, 2026 06:28

    Moscow imelaani vikali kitendo cha Marekani cha kukamata meli ya mafuta yenye bendera ya Russia katika Bahari ya Atlantic, na kuitaja hatua hiyo kama ukiukaji wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa Kuhusu Sheria ya Bahari.

  • Vyama vya Tunisia vyamjia juu Trump kwa kukiuka sheria za kimataifa

    Vyama vya Tunisia vyamjia juu Trump kwa kukiuka sheria za kimataifa

    Jan 08, 2026 06:09

    Vyama vya kisiasa na harakati za kijamii na kiraia nchini Tunisia zimetangaza kupinga vikali ajenda ya sera ya kigeni ya Rais wa Marekani Donald Trump, hasa uingiliaji wake wa masuala ya ndani ya Venezuela na ushupaliaji wake wa kutaka kuidhibiti Greenland.

  • Mwanachuoni Nigeria: Israel itafutwa katika uso wa dunia ikiishambulia tena Iran

    Mwanachuoni Nigeria: Israel itafutwa katika uso wa dunia ikiishambulia tena Iran

    Jan 08, 2026 06:08

    Mwanachuoni mashuhuri wa Kiislamu wa kaskazini mashariki mwa Nigeria amezionya Israel na Marekani dhidi ya kufanya mashambulizi yoyote ya kijeshi dhidi ya Iran, akisema matokeo yake yatakuwa mabaya zaidi kuliko yale ya vita vya siku 12 vya mwezi Juni mwaka uliopita 2025, na kuilazimisha Israel kuomba usitishaji vita.

  • Marekani 'yaziwekea ngumu' nchi zingine 12 za Afrika kupata viza ya kuingia nchini humo

    Marekani 'yaziwekea ngumu' nchi zingine 12 za Afrika kupata viza ya kuingia nchini humo

    Jan 08, 2026 03:06

    Serikali ya Marekani imeongeza karibu mara tatu idadi ya nchi ambazo wamiliki wa pasipoti zao watahitajika kuweka dhamana ya hadi dola 15,000 ili kuomba kuingia nchini humo.

  • White House: Chaguo la kijeshi kwa ajili ya kuitwaa Greenland lipo mezani

    White House: Chaguo la kijeshi kwa ajili ya kuitwaa Greenland lipo mezani

    Jan 08, 2026 03:04

    Ikulu ya White House ya Marekani imesema Rais Donald Trump wa nchi hiyo na washauri wake wanatathmini "machaguo mbali mbali" katika jitihada za kulitwaa eneo la Greenland, likiwemo chaguo la kutumia jeshi la nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS