Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kuuzuliwa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani: Jambo ambalo halijawahi kutokea

    Kuuzuliwa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani: Jambo ambalo halijawahi kutokea

    Oct 05, 2023 04:48

    Kevin McCarthy, Spika wa Bunge la Wawakilishi la Marekani kutoka chama cha Republican juzi Jumanne aliuzuliwa na wabunge wa bunge hilo katika vuta nikuvute kati ya wabunge wa chama cha Republican wenye siasa kali na wenye msimamo wa wastani.

  • Rais wa Mexico akosoa misaada ya kijeshi ya US kwa Ukraine

    Rais wa Mexico akosoa misaada ya kijeshi ya US kwa Ukraine

    Oct 03, 2023 23:39

    Rais Andrés Manuel López Obrador wa Mexico ameikosoa vikali Marekani kwa kutumia mabilioni ya dola kuisheheneza kwa silaha Ukraine.

  • Iran kujiunga na mfumo wa BRICS PAY ili kukwepa vikwazo vya Marekani

    Iran kujiunga na mfumo wa BRICS PAY ili kukwepa vikwazo vya Marekani

    Oct 01, 2023 03:52

    Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Qalibaf amesema Iran itajiunga na BRICS PAY, mfumo wa kibenki wa kielektroniki unaotumiwa na muungano wa BRICS wa mataifa yanayoinukia kiuchumi, ili kukwepa vizuizi vya kibenki vilivyosababishwa na vikwazo vya Marekani.

  • Bashar Assad: Marekani inashirikiana na magaidi

    Bashar Assad: Marekani inashirikiana na magaidi

    Sep 30, 2023 03:46

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amezungumzia kuwepo kwa magaidi katika maeneo ya kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na jinsi Marekani ilivyo na udhibiti kamili wa maeneo hayo na kusisitiza kwamba Washington inashirikiana na magaidi.

  • Waziri wa Russia: BRICS itaanzisha mfumo mbadala wa SWIFT

    Waziri wa Russia: BRICS itaanzisha mfumo mbadala wa SWIFT

    Sep 30, 2023 01:08

    Waziri wa Fedha wa Russia amedokeza kuwa, nchi wanachama wa kundi la BRICS zinajiandaa kuanzisha mfumo wa mawasiliano ya kibenki kama mbadala wa ule wa SWIFT wa Wamagharibi.

  • Onyo la Guterres kuhusu ushindani na hatari ya vita vya nyuklia duniani

    Onyo la Guterres kuhusu ushindani na hatari ya vita vya nyuklia duniani

    Sep 28, 2023 04:23

    Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuhusu dunia kuingia katika mashindano mapya ya silaha za nyuklia ambayo yanaweza kueneza maafa duniani kote. Katika siku ya mwisho ya mkutano wa mwaka wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Katibu Mkuu wa Baraza la Usalama amesema mashindano ya silaha yanatia wasiwasi wa kuongezeka karibuni idadi ya silaha za nyuklia ulimwenguni.

  • Kukiri kwa Borrell kwamba nchi zinazoendelea zinatafuta mbadala wa Magharibi

    Kukiri kwa Borrell kwamba nchi zinazoendelea zinatafuta mbadala wa Magharibi

    Sep 26, 2023 04:00

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell, ameandika katika makala iliyochapishwa kwenye blogu yake akisema: "Sheria zinazotawala dunia zinachakaa na nchi zinazoendelea za kusini mwa dunia zinatafuta mbadala wa Magharibi."

  • Hatua mpya ya Russia ya kutumia sarafu za kitaifa na kupunguza utegemezi kwa dola ya Marekani

    Hatua mpya ya Russia ya kutumia sarafu za kitaifa na kupunguza utegemezi kwa dola ya Marekani

    Sep 22, 2023 22:48

    Serikali ya Russia imeidhinisha orodha ya nchi 31, zikiwemo Iran, Brazil, Venezuela na Cuba, ambazo benki zao zinaweza kushiriki na kufanya biashara katika soko la fedha za kigeni nchini Russia.

  • Raisi: Mradi wa kuufanya ulimwengu uwe wa Kimarekani umefeli

    Raisi: Mradi wa kuufanya ulimwengu uwe wa Kimarekani umefeli

    Sep 19, 2023 23:51

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema mpango wa Marekani wa kuitwisha dunia sera na misimamo yake umefeli na kugonga mwamba.

  • Mabadilishano ya wafungwa na kuendelea misimamo ya Marekani dhidi ya Iran

    Mabadilishano ya wafungwa na kuendelea misimamo ya Marekani dhidi ya Iran

    Sep 19, 2023 23:07

    Kufuatia mafanikio ya kubadilishana wafungwa kati ya Iran na Marekani Jumatatu ya juzi, raia watano wa Iran ambao walifunguliwa mashtaka kinyume cha sheria na vyombo vya mahakama vya Marekani kutokana na shughuli za kawaida za kibiashara waliachiliwa huru.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS