-
UN: Athari za corona kuua watoto 50,000 Afrika Kaskazini na Asia Magharibi
Jun 15, 2020 15:10Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, yumkini athari za ugonjwa wa COVID-19 zikaua makumi ya maelfu ya watoto katika nchi za kaskazini mwa Afrika na Asia Magharibi.
-
Muqtada al-Sadr: Marekani inapaswa kuondoa vikosi vyake vyote Iraq
Jun 09, 2020 08:02Kiongozi wa Harakati ya Al-Sadr ya nchini Iraq ameitaka Marekani iviondoe mara moja vikosi vyake vyote katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Unicef: Mamilioni ya watoto Asia magharibi watasumbuliwa na umaskini kwa sababu ya corona
Apr 22, 2020 01:37Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetahadhasriha kuhusu uwezekano wa mamilioni ya watoto katika eneo la Asia magharibi kusumbuliwa na umaskini kutokana na janga la kiuchumi litakalosababishwa na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Marekani kutuma askari 4000 Asia Magharibi baada ya ubalozi wake 'kuvamiwa' Iraq
Jan 01, 2020 07:57Serikali ya Washington inajiandaa kutuma wanajeshi 4,000 wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi, baada ya wananchi waliokuwa na ghadhabu wa Iraq kufanya maandamano mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Baghdad.
-
Rouhani: Iran inataka kuimarisha uhusiano na majirani zake
Oct 01, 2019 03:22Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inatoa kipaumbele katika siasa zake za kigeni suala la kuimarisha ushirikiano na majirani zake.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Marekani ndio chanzo hasa cha kukosekana amani katika eneo
Aug 08, 2019 12:31Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, muungano wa kijeshi unaotaka kuundwa na Marekani wa kisingizio cha kudhamini usalama wa vyombo vya majini ndio utakaosababisha kuvurugika zaidi amani na usalama katika eneo.
-
Rais Rouhani: Marekani ni tishio kuu kwa uthabiti wa dunia
Jun 14, 2019 13:37Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani ni tishio kubwa kwa usalama na uthabiti wa nchi za eneo la Asia Magharibi na duniani kote kwa ujumla.
-
Iran: Israel ndiyo sababu ya migogoro yote ya kibinadamu Asia Magharibi
May 14, 2019 07:52Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndilo chimbuko la migogoro yote ya kibinadamu katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).
-
Waziri Mkuu wa Sweden: Marekani inapinga ukweli wa mambo kuhusu Asia Magharibi
Apr 16, 2019 06:52Waziri Mkuu wa Sweden, Carl Bildt ameutaja mpango wa Marekani wa 'Muamala wa Karne' kuwa usio wa kiuadilifu na kubainisha kwamba serikali ya Trump inajaribu kukana ukweli wa mambo kuhusu suala hilo.
-
Ilhan Omar: Hatua ya Trump dhidi ya IRGC itawaweka hatarini askari wa US
Apr 10, 2019 02:27Mbunge Muislamu katika Baraza la Wawakilishi la Marekani, Ilhan Omar amekosoa hatua ya Rais Donald Trump ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC katika orodha ya Marekani ya makundi ya kigaidi na kusema kuwa, kitendo hicho hakitakuwa na matokeo mengine ghairi ya kuchochea zaidi taharuki.