-
Yumkini idadi ya waliouawa Burundi imepindukia 1,000
Apr 28, 2016 10:46Umoja wa Mataifa umetaarifiwa kuwa idadi ya watu waliouawa katika mgogoro wa kisiasa nchini Burundi yumkini imepindukia watu 1,000.
-
Umwagaji damu waendelea Burundi, watu wengine 4 waua
Apr 21, 2016 10:53Watu wanne wameuawa katika matukio mawili tofauti katika kile kinachoonekana ni mauaji ya kulipiza kisasi kati ya maafisa wa serikali na waasi nchini Burundi.
-
Askari wa Umoja wa Mataifa auawa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Apr 19, 2016 03:20Askari wa kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa ameuawa katika hujuma ya waasi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Mripuko wa bomu wauawa watu 3 garini DRC
Apr 16, 2016 02:50Watu watatu wameuawa katika mripuko wa kile kinachoaminika kuwa bomu la kutegwa garini mashariki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Afisa wa serikali ya Burundi auawa katika makabiliano ya kulipiza kisasi
Apr 14, 2016 10:01Afisa wa chama tawala nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi, katika kile kinachoonekana ni wimbi la makabiliano ya kulipiza kisasi dhidi ya serikali.
-
Israel yaktaa kufichua nafasi yake katika mauaji ya kimbari ya Rwanda
Apr 13, 2016 02:55Mahakama ya Juu ya utawala wa kizayuni wa Israel imepitisha kuwa, nyaraka za mauzo ya silaha ya utawala huo haramu kwa serikali ya Rwanda wakati wa mauaji ya kimbari katika nchi hiyo ya Kiafrika mwaka 1994, hazitawekwa wazi kwa wananchi na zitaendelea kufichwa na kubakia siri kuu ya utawala huo.
-
Nigeria: Harakati ya Biafra imehusika na mauaji ya watu 55
Apr 11, 2016 03:28Polisi ya Nigeria imedai kuwa harakati ya Biafra ndiyo iliyohusika na mauaji ya hivi karibuni ya watu 55, baada ya kugundua kaburi la umati kusini mashariki mwa nchi.
-
Ban atahadharisha dhidi ya uchochezi na ubaguzi, kuepuka mauaji ya kimbari
Apr 08, 2016 04:35Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema ili kuzuia kutokea mauaji ya kimbari, lazima jamii zote duniani zijiepushe na uchochezi na matamshi ya chuki yanayoweza kuibua mfarakano na uhasama.
-
Watetezi wa Haki: Hali ya Burundi inatisha, zaidi ya 381 wameuawa hadi sasa
Apr 02, 2016 01:49Tume Huru ya Kutetea Haki za Binadamu nchini Buundi imeelezea wasi wasi wake kuhusiana na hali ya kiusalama na kisiasa nchini Burundi na kuongeza kwamba mamia ya watu wamekwishauawa kufikia sasa.
-
12 wauawa katika mapigano Jamhuri ya Afrika ya Kati
Mar 06, 2016 12:59Watu 12 wameuliwa na watu wenye silaha katika vijiji vya Jamhuri ya Afrika ya Kati, katika mapigano ya kwanza tangu Faustin-Archange Touadera kuidhinishwa kuwa rais wa nchi hiyo, Jumanne iliyopita.