-
Israel imewakamata Waplestina milioni moja tokea ikalie ardhi zao kwa mabavu
Dec 09, 2019 08:11Taasisi moja ya takwimu Palestina imetangaza kuwa, tokea utawala haramu wa Israel ukalie kwa mabavu ardhi za Palestina mwaka 1948 hadi sasa, Wapalestina wapatao milioni moja wamekamatwa kwa sababu mbali mbali.
-
Watu sita watiwa mbaroni Saudia kwa kumkosoa mpambe wa Bin Salman
Oct 26, 2019 02:35Wanaharakati wa haki za binaadamu nchini Saudia wameripoti habari ya kutiwa mbaroni na maafisa usalama wa nchi hiyo watu sita, kwa tuhuma ya kumkosoa mmoja wa watu wa karibu na Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa nchi hiyo.
-
Wapalestina waliotiwa mbaroni Saudia wakabiliwa na mateso
Oct 22, 2019 03:20Mwanachama wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa raia wa Palestina waliokamatwa nchini Saudi Arabia wanakabiliwa na mateso mbalimbali.
-
Maelfu watiwa nguvuni Misri katika maandamano yanayomtaka al Sisi ang'atuke
Oct 05, 2019 02:39Kamisheni ya Haki na Uhuru ya Misri imetangaza kuwa, askari usalama wa nchi hiyo wamewatia nguvuni raia zaidi ya elfu 3 katika maandamano ya wiki mbili za hivi karibuni dhidi ya Rais Abdel Fattah al Sisi wa nchi huyo.
-
Utawala wa Bahrain wawakamata wanazuoni wa Kishia
Sep 08, 2019 02:35Utawala wa kiimla wa Bahrain umewakamata wanazuoni kadhaa wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia katika mwezi huu wa Muharram.
-
Waziri wa zamani wa Mahakama wa Algeria atiwa mbaroni
Aug 23, 2019 07:25Waziri wa zamani wa Mahakama wa Algeria ametiwa mbaroni kwa tuhuma za uchochezi na kuzuia kutekelezwa uadilifu.
-
Yemen yawakamata mamluki waliomuua Ibrahim al Houthi
Aug 10, 2019 07:40Idara za intelijensia nchini Yemen zimefanikiwa kuwakamata mamluki waliomuua Ibrahim Badreddin al Houthi, kaka yake Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah.
-
Waziri Mkuu wa Iraq atoa amri ya kutiwa nguvuni mawaziri 11 kwa tuhuma za ufisadi
Jul 24, 2019 07:44Waziri Mkuu wa Iraq amesema ametoa maagizo ya kutiwa nguvuni mawaziri 11 wa serikali kwa tuhuma za ufisadi na kwamba iwapo tuhuma hizo zitathibitika majina yao yatatangazwa hadharani.
-
Zaidi ya raia elfu moja wa nchi za kigeni wapo katika jela za Saudi Arabia
Jul 19, 2019 02:32Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia imetangaza kuwa raia wa nchi za nje zaidi ya elfu moja na hamsini wamefungwa katika jela za nchi hiyo kwa tuhuma zinazohusiana na masuala ya kiusalama.
-
Kiongozi wa Daesh (ISIS) aliyekuwa akitoa hukumu za kifo, atiwa mbaroni Mosul
Jul 06, 2019 04:21Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq imetangaza kwamba, kiongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) aliyekuwa akihusika kutoa hukumu za kifo, ametiwa mbaroni mjini Mosul.