-
Mapinduzi laini, Mfalme wa Saudia ampiga kalamu nyekundu mrithi wake na kumteua mwanawe
Jun 21, 2017 03:09Mfalme wa Saudi Arabia, Salman Bin Abdulaziz Aal-Saud amemfuta kazi mrithi wake Mohammed Bin Nayef bin Abdulaziz Aal-Saud na kumteua mwanawe wa kiume Mohammad Bin Salman Aal-Saud, kushika nafasi hiyo.
-
Al Sisi: Mfalme wa Saudia aiombe radhi Misri
Nov 14, 2016 23:21Rais wa Misri amesema kuwa anataka Mfalme wa Saudi Arabia aiombe radhi Misri kama sharti la kuweza kuzisuluhisha Cairo na Riyadh.
-
Kukiri rasmi Saudia kuhusu matatizo ya kifedha yanayoiandamana
Nov 14, 2016 00:36Baada ya kuenea ripoti mbalimbali za kimataifa juu ya kupungua pato la fedha linalotokanal na mafuta, hatimaye Waziri wa Fedha wa Saudia ametangaza rasmi kuwa, hivi sasa serikali ya nchi hiyo inadaiwa mamilioni ya Dola kutokana na mgogoro wa fedha.
-
Saudia yasimamisha kuwapa viza raia wa Misri
Oct 28, 2016 04:33Katika hali inayoonekana ni kuongezeka mzozo baina ya Riyadh na Cairo, Saudi Arabia imechukua hatua mpya ya kushangaza ya kusimamisha kutoa viza kwa raia wa Misri.
-
Mwanasiasa Misri: Kupunguzwa mishahara ya wafanyakazi Saudia ni natija ya kufilisika uchumi wake
Sep 28, 2016 10:41Mtaalamu wa masuala ya kisiasa katika kituo cha utafiti wa kistratijia na kisiasa cha al-Ahram nchini Misri amesema kuwa, mdororo wa uchumi duniani, umeisababishia matatizo makubwa ya kiuchumi Saudi Arabia.
-
Watu 20 wauawa katika mashambulio ya Saudi Arabia nchini Yemen
Aug 31, 2016 08:53Watu wasiopungua 20 wameuawa nchini Yemen na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mashambulio mapya ya anga ya Saudi Arabia katika nchi hiyo.
-
Mfamle wa Saudia awapa 'bonasi' askari wanaoua raia Yemen
Aug 15, 2016 03:30Mfalme wa Saudi Arabia ametangaza kuwapa marupurupu askari vamizi wanaotekeleza mauaji na jinai za kutisha dhidi ya raia wa kawaida nchini Yemen.
-
Mfalme wa Saudia akumbwa na matatizo ya kiakili, haruhusiwi kuona wageni
Jun 01, 2016 23:03Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudi Arabia amekumbwa na maradhi mabaya mno ya kiakili kiasi kwamba wageni wanazuiwa kumtembelea. Mwanae Mfalme Salman ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi na Naibu Mrithi Kiti cha Ufalme, Mohammad bin Salman ametoa amri ya kupiga marufuku wageni kumtembelea baba yake ambaye ana maradhi sugu ya kiakili.