-
Matukio ya karibuni ya kihistoria nchini Misri kufutwa kwenye vitabu vya masomo
Jun 19, 2017 03:27Wizara ya Elimu nchini Misri imesambaza waraka wa kufutwa baadhi ya matukio ya kisiasa na kihistoria katika vitabu vya masomo.
-
Amnesty International yaitaka Misri iache kutekeleza hukumu ya kifo
Jun 18, 2017 22:57Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limevitaka vyombo vya mahakama nchini Misri viache kutekeleza hukumu ya kunyongwa raia saba wa nchi hiyo wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali.
-
Watano wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu, Cairo, Misri
Jun 18, 2017 03:12Mripuko mmoja wa bomu uliotokea kusini mwa Cairo, mji mkuu wa Misri umeua mtu mmoja na kujeruhi wengine wanne.
-
Mgogoro wa Qatar wachukua sura mpya, Misri yataka Uturuki iwekewe vikwazo
Jun 17, 2017 11:06Mgogoro ulioanzishwa na Saudi Arabia dhidi ya Qatar umechukua sura mpya baada ya mtandao mmoja wa habari wa nchini Uingereza kuandika kuwa, rais wa Misri ametaka Uturuki iwekewe vikwazo kutokana na kuiunga mkono Qatar.
-
31 wahukumiwa kifo nchini Misri
Jun 17, 2017 11:05Mahakama moja nchini Misri imewahukumu adhabu ya kifo watu 31 kwa tuhuma za kushiriki katika mauaji ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa zamani wa nchi hiyo.
-
Magaidi watatu wauawa katika Rasi ya Sinai, kaskazini mwa Misri
Jun 16, 2017 23:03Msemaji wa jeshi la Misri amesema kuwa, jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kuua magaidi watatu katika Rasi ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Makumi watiwa mbaroni Misri kwa kupinga kukabidhiwa Saudia visiwa vya nchi yao
Jun 16, 2017 10:54Polisi ya Misri imewatia mbaroni makumi ya watu wanaopinga jaribio la serikali ya nchi hiyo ya kutaka kuipa Saudia visiwa vya nchi yao vya Tiran na Sanafir.
-
Misri: Uislamu ni muongozo wa maisha bora, si dini ya mauaji na uharibifu
Jun 14, 2017 22:00Waziri wa Wakfu wa Misri amesema kuwa, dini tukufu ya Kiislamu haina uhusiano wowote na mauaji na jinai zinazofanywa na baadhi ya watu kwa jina la Uislamu, bali dini hiyo ni muongozo wa maisha bora kwa mwanadamu.
-
Wamisri waandamana kupinga kupewa Saudia visiwa viwili vya nchi yao
Jun 14, 2017 03:45Wananchi wa Misri wamefanya maandamano katika mji mkuu Cairo, kulalamikia uamuzi wa Bunge la hiyo nchi hiyo wa kuidhinisha kupewa Saudi Arabia visiwa viwili vya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika vya Tiran na Sanafir.
-
Misri yawekwa katika orodha nyeusi ya ILO
Jun 08, 2017 22:33Shirika la Kazi Duniani (ILO) limeiweka Misri kwenye orodha nyeusi kwa mara ya nne.