-
Watu 20 wauawa katika mlipuko mazikoni Kabul, Afghanistan
Jun 03, 2017 10:41Watu wasiopungua 20 wameuawa katika mlipuko wa kigaidi wakiwa katika maziko katika kitongoji cha mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
Iran yalaani hujuma ya Kabul, idadi ya waliouawa yapindukia 80
May 31, 2017 10:30Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali shambulizi la kigaidi lililoutikisa mji mkuu wa Afghanistan, Kabul na kuuwa makumi ya watu na kujeruhi wengine wengi.
-
Idadi ya waliouawa na kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi Iraq yafikia 115
May 30, 2017 11:10Polisi ya Iraq imetangaza kuwa idadi ya watu waliouawa na kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililofanywa usiku wa kuamkia leo kwenye eneo la Al-Karrada katika mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad imeongezeka na kufikia 115.
-
19 Wauawa katika hujuma ya kigaidi Manchester, Uingereza
May 22, 2017 23:05Watu wasiopungua 19 wameuawa katika mji wa Manchester nchini Uingereza kufuatia mlipuko mkubwa unaoshukiwa kuwa hujuma ya kigaidi.
-
Wanajeshi 3 wauawa wakitegua bomu nchini Somalia
May 17, 2017 09:24Kwa akali askari watatu wa jeshi la Somalia wamepoteza maisha baada ya mabomu yaliyokuwa yametegwa ndani ya gari moja lililokamatwa na maafisa usalama kuwalipukia katika mji mkuu Mogadishu.
-
Mripuko wa bomu waua watu sita na kujeruhi wengine kadhaa mjini Mogadishu, Somalia
May 09, 2017 03:40Watu wasiopungua sita wameuawa baada ya bomu lililotegwa garini kuripuka katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu hapo jana.
-
Makumi wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu Kabul
May 03, 2017 03:17Watu 33 wameuawa na kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu ulioutikisa mji wa Kabul karibu na ubalozi wa Marekani nchini Afghanistan mapema leo.
-
5 wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu Somalia
Apr 30, 2017 23:41Kwa akali watu wawili wameuawa na wengine watatu wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu la kuendeshwa kutokea mbali katika viunga vya mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Mripuko wajeruhi watu wawili mjini Mogadishu, Somalia
Apr 29, 2017 11:01Duru za usalama nchini Somalia zimetangaza habari ya kutokea mripuko wa bomu mjini Mogadishu Somalia na kujeruhi watu wawili.
-
Watu 15 wauawa katika mlipuko wa bomu Mogadishu, Somalia
Apr 09, 2017 09:52Watu wasiopungua 15 wameuawa baada ya bomu lililotegwa ndani ya gari kuripuka nje ya kambi ya jeshi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.