-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi nchini Russia
Apr 03, 2017 22:58Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma ya kigaidi katika mji wa St.Petersburg nchini Russia.
-
Shambulio la kigaidi laua watu kadhaa Mogadishu, Somalia
Mar 21, 2017 22:19Polisi ya Somalia imetangaza kuwa shambulio la kigaidi lililotokea jana katika mji mkuu wa nchi hiyo, Mogadishu limeua watu kadhaa na kujeruhi wengine wengi.
-
Mripuko mwingine waukumba mji mkuu wa Somalia, Mogadishu
Mar 12, 2017 10:21Vyombo mbalimbali vya habari ya ndani na nje ya Somalia vimeripoti habari ya kutokea mripuko wa bomu leo Jumapili katika mji mkuu wa nchi hiyo, Mogadishu.
-
Mwanachama wa Daesh ajilipua katika sherehe za harusi Iraq na kuua watu 26
Mar 09, 2017 04:34Kwa akali watu 26 wameuawa papo hapo katika mripuko wa bomu uliotokea katikati ya sherehe za harusi, karibu na mji wa Tikrit, kaskazini magharibi mwa mji mkuu Baghdad.
-
Ushahidi waonesha: Ndege ya Misri iliangushwa na magaidi
Dec 16, 2016 00:19Kuna uwezekano mkubwa kwamba, ndege ya Misri iliyoanguka mapema mwa mwaka huu na kuua makumi ya watu ililipuliwa na magaidi.
-
Milipuko ya kigaidi yaendelea kuitikisa Somalia, wanajeshi watano wauliwa
Dec 15, 2016 10:53Wanajeshi watano wa Somalia wameuawa katika mlipuko wa bomu la kutegwa garini uliotekelezwa leo karibu na ikulu ya Rais wa Somalia na kujeruhi pia makumi ya watu.
-
Wanne wauawa katika mlipuko wa kigaidi Somalia
Dec 12, 2016 10:27Mlipuko wa kigaidi uliotokea leo katika mji wa bandari wa Kismayo nchini Somalia umeuawa watu wanne.
-
Makumi wauawa na kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi Iraq
Oct 16, 2016 11:13Watu zaidi ya 30 wameuawa na kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi lililoulenga mkusanyiko wa waombolezaji waliokuwa wakiandamana katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Mlipuko wa bomu waua watatu Blue Sky, Mogadishu
Oct 01, 2016 09:46Gari lililokuwa limetegwa bomu limeripuka katika mgahawa mmoja mjini Mogadishu huko Somalia na mashahidi wanasema watu wasiopungua watatu wameuawa.
-
Kesi 290 za kipindupindu zaripotiwa Sudan Kusini
Jul 26, 2016 22:11Wizara ya Afya Sudan Kusini imethibitisha kutokea mripuko wa kipindupindu nchini humo huku kesi karibu 300 za ugonjwa huo zikiripotiwa.