-
Maelfu ya Wacameroon wakimbilia Nigeria wakiepa kushtadi machafuko nchini kwao
Feb 13, 2020 23:11Wakimbizi raia wa Cameroon karibu elfu nane wamekimbilia katika maeneo ya mashariki na kusini mwa Nigeria katika kipindi cha wiki mbili zilizopita. Hayo yalielezwa jana Alhamisi na Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa.
-
Watu kadhaa wauawa licha ya uchaguzi mdogo kufanyika chini ya ulinzi mkali nchini Nigeria
Nov 17, 2019 07:56Watu kadhaa wameuawa licha ya uchaguzi wa magavana wa majimbo mawili ya Nigeria kufanyika chini ya ulinzi mkali.
-
Afrika Kusini na Nigeria zaboresha uhusiano na kufikia makubaliano ya kibiashara
Oct 03, 2019 22:09Afrika kusini na Nigeria jana Alhamisi zilisaini hati 30 za makubaliano ya ushirikiano, wiki kadhaa baada ya wimbi la ghasia na machafuko yaliyowalenga raia wa nchi za Afrika katika miji ya Johannesburg na Pretoria. Machafuko hayo yalivuruga uhusiano kati ya nchi mbili hizo za Afrika zenye uchumi mkubwa.
-
Madaktari waruhusiwa kumfanyia uchunguzi wa kiafya Sheikh Ibrahm Zakzaky
Apr 26, 2019 22:12Hatimaye timu ya madaktari imeruhusiwa kumfanyia uchunguzi wa kiafya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria ambaye angali anashikiliwa kizuizini.
-
UN: Kusimamishwa Jaji Mkuu wa Nigeria kumekiuka haki za binadamu
Feb 11, 2019 10:53Hatua ya kumsimamisha Jaji Mkuu wa Nigeria iliyochukuliwa na rais wa nchi hiyo Muhammadu Buhari imekiuka vipimo vya kimataifa vya haki za binadamu kuhusu uhuru wa vyombo vya mahakama na utenganishaji wa mihimili ya madaraka ya dola.
-
Lori laponda kundi la watu na kuua 20 nchini Nigeria
Jan 13, 2019 12:53Maafisa wa Nigeria wametangaza kuwa, lori moja limevamia kundi la watu katika soko moja lenye mrundikano mkubwa wa watu kusini mwa nchi hiyo na kuua watu wasiopungua 20.
-
Mafuriko Nigeria yauwa watu 199; mamia wakosa makazi
Oct 11, 2018 04:45Mafuriko yaliyoyaathiri maeneo mengi ya katikati na kusini mwa Nigeria yamesababisha vifo vya watu 199 hadi sasa. Hayo yameelezwa na Idara ya Kukabiliana na Majanga ya nchi hiyo.
-
Watu watano wauawa na wanamgambo wa Boko Haram Nigeria
Dec 14, 2017 04:12Watu wasiopungua watano wameuawa katika shambulio la hivi kkaribuni kabisa la wanamgambo wa Boko Haram nchini Nigeria kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Wanigeria waandamana kutaka Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu aachiliwe huru
Nov 26, 2017 00:15Wanawake wameandamana katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja wakitaka serikali imuachilie huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky na mke wake.
-
Jeshi la Nigeria lawakomboa raia wa Cameroon waliokuwa wametekwa nyara na B/Haram
Nov 12, 2017 10:15Jeshi la Nigeria limewakomboa raia wa Cameroon zaidi ya 300 waliokuwa wametekwa nyara na kundi la kigaidi la Boko Haram.