-
Niger katika Mkutano wa UNGA: Ufaransa inapasa kukumbuka na kutambua jinai zake
Sep 28, 2025 07:02Lamine Zeine Ali Mahaman Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Niger ameikosoa Ufaransa nchi mkoloni wa zamani wa nchi hiyo akisema kuwa nchi hiyo ya Ulaya inatumia ugaidi kudhoofisha taifa hilo la eneo la Sahel.
-
Makumi waaga dunia kwa mafuriko nchini Niger, maelfu waathirika
Aug 21, 2025 05:42Kwa uchache watu 47 wamepoteza maisha, huku zaidi ya 56,000 wakilazimika kuhama makazi yao kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha hivi majuzi nchini Niger.
-
Makamanda 11 wa ugaidi wauawa katika operesheni za jeshi la Nigeria
May 08, 2025 07:04Takriban vinara 11 wa magenge ya kigaidi nchini Nigeria wameuawa na vikosi vya serikali katika operesheni za kupambana na ugaidi katika nchi hiyo yenye watu wengi zaidi barani Afrika.
-
Aref: Msingi wa kuimarika uhusiano wa Iran, Niger ni Mapinduzi ya Kiislamu
Apr 30, 2025 02:33Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran, Mohammad-Reza Aref amesema Jamhuri ya Kiislamu imekuwa ikitekeleza sera yake ya kukuza uhusiano na Niger na mataifa mengine ya bara la Afrika kwa kuzingatia thamani na maadili ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Jenerali Tchiani kuiongoza Niger kwa mpito wa miaka 5
Mar 27, 2025 11:07Kiongozi wa kijeshi wa Niger ameapishwa rasmi kuwa rais wa nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika kwa kipindi cha mpito cha miaka mitano.
-
Iran yasikitishwa na shambulio la kigaidi lililoua 44 msikitini Niger
Mar 23, 2025 10:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei amelaani vikali shambulio la kigaidi la karibuni dhidi ya msikiti mmoja kusini magharibi mwa Niger.
-
Shambulio la kigaidi kwenye msikiti nchini Niger laua makumi ya watu
Mar 22, 2025 07:01Makumi ya watu wameuawa shahidi katika shambulio la kundi la kigaidi la ISIS kwenye msikiti mmoja kusini magharibi mwa Niger.
-
Niger: Kutimuliwa maajinabi kumefungua ukurasa mpya wa amani nchini
Feb 18, 2025 07:28Balozi wa Niger mjini Tehran amesema lengo kuu la serikali mpya ya nchi yake ni kupata uhuru kamili.
-
Nigeria yakanusha madai ya kula njama ya kuyumbisha amani huko Niger
Dec 22, 2024 08:02Nigeria imekanusha "kwa matamshi makali sana" tuhuma za Niger kwamba inapanga njama ya kuyumbisha nchi hiyo kwa kuwasaidia wanamgambo waliofanya mashambulizi kwenye bomba muhimu la mafuta la nchi hiyo.
-
Watu wasiopungua 39 wauawa katika mashambulizi ya waasi nchini Niger
Dec 15, 2024 10:54Wizara ya Ulinzi ya Niger imetangaza kuwa watu wasiopungua 39 wameuawa katika mashambulizi ya wanamgambo wenye silaha magharibi mwa nchi hiyo karibu na mpaka na Burkina Faso.