-
Abdollahian: Iran ina azma ya kuimarisha uhusiano na Niger
Mar 18, 2024 13:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa serikali ya Rais Ebrahim Raisi ina hamu ya kuimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano na nchi za Afrika ikiwemo Niger.
-
Niger yavunja mkataba wa ushirikiano wa kijeshi na Marekani
Mar 17, 2024 05:50Serikali ya Niger imetangaza kwamba "bila kupoteza muda" inavunja makubaliano yake ya ushirikiano wa kijeshi na Marekani.
-
Mali, Niger na Burkina Faso zaunda muungano wa kijeshi
Mar 08, 2024 07:22Mali, Niger na Burkina Faso zimetangaza habari ya kuunda kikosi cha pamoja cha jeshi kitakachosaidia kukabiliana na utovu wa usalama uliosababishwa na harakati za makundi ya kigaidi katika nchi hizo za Afrika Magharibi.
-
Baada ya Niger, ECOWAS yaiondolea vikwazo Guinea
Feb 26, 2024 11:46Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeamua kuondoa vikwazo ilivyokuwa imeiwekea Guinea.
-
Jumuiya ya ECOWAS yaiondolea vikwazo Niger
Feb 25, 2024 09:51Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika ECOWAS imetangaza habari ya kuiondolea Niger vikwazo vya kiuchumi na kifedha.
-
Burkina Faso, Mali na Niger zatupilia mbali kanuni ya kubaki kwenye ECOWAS kwa muda wa mwaka mmoja
Feb 08, 2024 11:39Siku kumi baada ya kutangaza kujitoa katika Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS, Burkina Faso, Mali na Niger zimetangaza kuwa, zinakusudia kujiondoa mara moja, licha ya kuwepo kanuni inayozitaka zibaki katika jumuiya hiyo kwa muda wa mwaka mmoja kabla ya kutekeleza rasmi uamuzi huo.
-
Kujiondoa Mali, Niger na Burkina Faso kwenye Jumuia ya ECOWAS
Jan 30, 2024 07:22Nchi tatu za Niger, Burkina Faso na Mali zimetangaza kujiondoa kwenye Jumuia ya Kiuchumi ya Magharibi mwa Afrika ECOWAS kutokana na kutokuwa na imani na siasa na sera za jumuia hiyo.
-
Mali, Burkina Faso na Niger zajiondoa kwenye jumuiya ya ECOWAS
Jan 29, 2024 03:03Tawala za kijeshi katika nchi za Mali, Burkina Faso na Niger zimetangaza kuyaondoa 'mara moja' mataifa kwenye Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS).
-
Kukuza uhusiano na nchi za Afrika, moja ya mihimili ya sera za kigeni za Iran
Jan 28, 2024 04:35Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja msingi wa uhusiano wa Tehran na nchi za Kiafrika kuwa ni mungamano wa kiroho baina ya mataifa hayo na kwamba uhusiano huo ni moja ya mihimili mikuu ya siasa za nje za Iran.
-
Raisi: Msingi wa uhusiano wa Iran na Afrika ni maslahi ya pamoja
Jan 25, 2024 11:13Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa Iran na Mali pamoja na nchi nyingine za Afrika si wa kisiasa na kidiplomasia tu, bali umejengeka katika msingi wa maslahi ya pande mbili na pande kadhaa.