-
Wananchi wa Kano Nigeria waandamana kulaani jinai za Israel Ukanda wa Gaza
Nov 12, 2023 13:10Maelfu ya Waislamu na waungaji mkono wa Palestina katika mji wa Kano, Nigeria wameandamana na kulaani jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina hasa wa Ukanda wa Gaza.
-
Wanafunzi 13 wauawa wakisherehekea Maulidi Nigeria
Nov 07, 2023 13:22Kwa akali wanafunzi 13 wa madrasa ya Kiislamu wameuawa katika shambulizi la wabeba silaha katika jimbo la Katsina, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Mahakama ya Juu Nigeria yatupa rufaa za kupinga ushindi wa Rais Tinubu
Oct 27, 2023 02:31Mahakama ya Juu ya Nigeria imetupilia mbali rufaa zilizowasilishwa kwake na vyama vya upinzani kupinga ushindi wa Rais Bola Tinubu katika uchaguzi tata wa rais wa mwezi Februari mwaka huu.
-
Rais Ebrahim Raisi: Jinai za Wazayuni ni sura halisi ya ubaguzi na ukoloni wa Magharibi
Oct 25, 2023 15:25Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaja jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa jinai hizo kuwa ni sura halisi ya ubaguzi wa rangi na ukoloni wa nchi za Magharibi.
-
Wananchi wa Kano Nigeria waandamana kulaani jinai za Israel huko Gaza
Oct 21, 2023 13:45Waislamu na waungaji mkono wa Palestina katika mji wa Kano, Nigeria wameandamana na kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi madhulumu wa Palestina hasa wa Ukanda wa Gaza.
-
Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Nigeria: Kimbunga cha Al-Aqsa ni mwanzo wa kushindwa utawala wa Kizayuni
Oct 20, 2023 13:50Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (NIM) amesisitiza kuwa: operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ni mwanzo wa kushindwa na kurudi nyuma jeshi lenye nguvu bandia la utawala wa Kizayuni.
-
Ugonjwa wa dondakoo wauwa watu 600 Nigeria, wengi wakiwa ni watoto
Oct 13, 2023 02:37Nigeria imekumbwa na mlipuko mkubwa wa ugonjwa wa (Dondakoo) yaani Diphtheria ambao umepelekea vifo vya zaidi ya watu 600, haswa watoto, tangu mwezi Desemba mwaka 2022.
-
Mripuko kwenye kiwanda cha kusafisha mafuta Nigeria waua 37
Oct 03, 2023 12:36Watu wasiopungua 37 wamefariki dunia katika mripuko uliotokea katika kiwanda kimoja cha kusafishia mafuta kilichokuwa kinafanya kazi kinyume cha sheria huko kusini mwa Nigeria.
-
Bazoum "akimbilia" mahakama ya ECOWAS, ataka aachiwe huru
Sep 21, 2023 07:35Rais aliyepinduliwa wa Niger, Mohamed Bazoum, amewasilisha kesi mbele ya Mahakama ya Haki ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS) akitaka aachiliwe huru.
-
Waislamu Nigeria waadhimisha Arubaini ya Imam Hussein AS
Sep 06, 2023 10:37Waislamu ya madhehebu ya Shia nchini Nigeria wamefanya marasimu, matembezi na vikao vya kuadhimisha Arubaini ya Imam Hussein (AS).