-
Rais Tinubu awarejesha nyumbani mabalozi wote wa Nigeria
Sep 03, 2023 07:23Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu amewaagiza mabalozi wote wa nchi hiyo ya Afrika Magharibi katika kona zote za dunia kurejea nyumbani.
-
Shambulizi la kigaidi msikitini laua Waislamu 7 Nigeria
Sep 03, 2023 03:27Genge moja la kigaidi limeshambulia Msikiti mmoja wa jimbo la Kaduna la kaskazini magharibi mwa Nigeria na kuua Waislamu wasiopungua saba.
-
Nigeria yaahidi kupunguza vikwazo vya ECOWAS dhidi ya Niger
Aug 30, 2023 13:24Msemaji wa ofisi ya rais wa Nigeria amesema nchi hiyo pamoja na Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi, ECOWAS zitapunguza baadhi ya vikwazo zilivyoiwekea Niger.
-
Kiongozi wa mapinduzi Niger: Niko tayari kumwachia huru Bazoum
Aug 25, 2023 03:08Kiongozi wa mapinduzi nchini Niger, Jenerali Abdourahamane Tiani, amekutana na ujumbe wa wanazuoni wa Kiislamu wa Nigeria, huku mashinikizo za kikanda na kimataifa yakiongezeka dhidi ya utawala wa kijeshi wa Niamey kwa shabaha ya kurejesha utawala wa kikatiba.
-
Zakzaky: US, Ufaransa zinataka kuibua uhasama baina ya Nigeria na Niger
Aug 19, 2023 10:30Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) ametahadharisha juu ya njama na majungu yanayopikwa na Marekani na Ufaransa ya kupanda mbegu za chuki, uhasama na mifarakano baina ya Nigeria na jirani yake Niger.
-
Maelfu ya Wanigeria waandamana kupinga mashambulizi ya ECOWAS dhidi ya Niger
Aug 13, 2023 08:21Maelfu ya watu nchini Nigeria wamefanya maandamano wakipinga uwezekano wa mashambulizi ya kijeshi ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Kanda ya Afrika Magharibi, (ECOWAS) nchini Niger.
-
Nigeria yatakiwa irejesha umeme Niger na ipunguze vikwazo
Aug 13, 2023 02:35Wakili mwandamizi nchini Nigeria na mwanaharakati wa haki za binadamu Femi Falana ametoa wito kwa Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) , kurejesha umeme nchini Niger na kupunguza vikwazo vilivyowekwa kwa nchi hiyo kufuatia mapinduzi ya kijeshi ya hivi karibuni.
-
Waislamu Nigeria waandamana kulaani kuchomwa moto Qurani
Jul 27, 2023 10:21Waislamu nchini Nigeria wamefanya maandamano kulaani vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya.
-
Makumi wauawa katika shambulizi la magaidi wa ISWAP Nigeria
Jul 27, 2023 10:19Makumi ya watu wameuawa nchini Nigeria katika shambulizi la kundi la kigaidi la ISIS au Daesh tawi la Afrika Magharibi (ISWAP).
-
Waislamu Uganda na Nigeria walaani kuchomwa moto Qurani Tukufu Sweden
Jul 04, 2023 07:51Baraza Kuu la Waislamu nchini Uganda (UMSC) limelaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Sweden, huku uhalifu huo mkubwa wa kukichoma moto kitabu hicho kitakatifu katika nchi hiyo ya Magharibi ukiendelea kulaaniwa vikali na Waislamu kote duniani.