-
Bomba la shell lachafua mashamba, mto huko Niger Delta, Nigeria
Jun 27, 2023 04:40Kusambaa mafuta kwa mara nyingine tena kutoka kituo cha Shell nchini Nigeria kumechafua mashamba na mto, na hivyo kukwamisha shughuli za maisha za wavuvi na wakulima katika jimbo la Niger Delta huko Nigeria, raia ambao kwa muda mrefu wamevumilia uchafuzi wa mazingira unaosababishwa na sekta ya mafuta.
-
Rais wa Nigeria afanya mabadiliko makubwa; apangua safu ya wakuu wa usalama
Jun 20, 2023 06:40Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais wa Nigeria imeeleza kuwa Rais Bola Ahmed Tinubu wa nchi hiyo amewateua makamanda wapya wa vikosi vya jeshi la taifa, wanamaji na jeshi la anga.
-
Watu 13 wauawa katika mapigano kati ya jamii za wafugaji na wakulima, Nigeria
Jun 19, 2023 08:52Jimbo la Plateau katikati ya Nigeria katika wiki za karibuni lilikumbwa tena na machafuko kati ya jamii za wafugaji na wakulima wakigombania umiliki na ardhi na maliasili.
-
Takriban watu 150 wafariki dunia baada ya boti kuzama nchini Nigeria
Jun 17, 2023 08:18Takriban watu 150 wamepoteza maisha baada ya mashua waliyokuwa wamepanda kupinduka katika jimbo la Kwara, magharibi mwa Nigeria.
-
Rais wa Nigeria amsimamisha kazi mkuu wa kupambana na ufisadi
Jun 16, 2023 02:29Rais Bola Tinubu wa Nigeria amemsimamisha kazi Mkuu wa Kamisheni ya Kupambana na Ufisadi ya nchi hiyo ambaye alikuwa akichunguzwa kwa tuhuma za kutumia vibaya madaraka. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya Nigeria.
-
Rais wa Nigeria awataka wananchi kuwa watulivu kufuatia kuondolewa ruzuku ya mafuta
Jun 13, 2023 04:39Rais Bola Tinubu wa Nigeria jana aliwatolea wito wananchi kukubali kujitolea zaidi kwa ajili ya uwekezaji wa baadaye baada ya serikali yake kuhitimisha ruzuku ya muda mrefu ya mafuta katika hatua ambayo imesababisha kupanda kwa bei ya petroli, usafiri na vyakula nchini humo.
-
Sheikh Zakzaky: Bado tunahitaji fikra za Imam Ruhullah Khomeini
Jun 04, 2023 06:18Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) ametangaza kuwa, licha ya kupita miaka 34 tangu kuaga dunia Imam Ruhullah Khomeini, fikra za mwasisi huyo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado ziko hai.
-
Bola Tinubu aapishwa kuwa Rais mpya wa Nigeria
May 29, 2023 10:48Bola Ahmed Tinubu ameapishwa kuwa Rais wa tano wa Nigeria tokea kurejea kwa utawala wa demokrasia nchini humo mwaka 1999; huku akiwahijiwa na changamoto nyingi za kiuchumi na kiusalama.
-
Kwa akali watu 30 wameuawa katika mashambulizi kaskazini mwa Nigeria
May 17, 2023 06:18Watu waliokuwa na silaha wameshambulia vijiji kadhaa katika jimbo la Plateau hujko nchini Nigeria na kupelekea mauaji ya watu wasiopungua 30.
-
Watu 15 waaga dunia baada ya boti kuzama Nigeria; 25 hawajulikani walipo
May 11, 2023 11:23Sanusi Abubakar msemaji wa polisi katika jimbo la Sokoto nchini Nigeria ameripoti kuwa watu 15 wamepoteza maisha baada ya boti kuzama Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo.