Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Washambuliaji wapanda-pikipiki wenye silaha waua watu 60 kaskazini mwa Nigeria

    Washambuliaji wapanda-pikipiki wenye silaha waua watu 60 kaskazini mwa Nigeria

    May 29, 2020 06:49

    Watu 60 Wameuawa na wengine wengi wamejeruhiwa katika shambulizi lililofanywa na kundi la wapanda pikipiki wenye silaha kaskazini magharibi mwa Nigeria.

  • Jeshi la Nigeria laangamiza makumi ya magaidi kaskazini mwa nchi

    Jeshi la Nigeria laangamiza makumi ya magaidi kaskazini mwa nchi

    May 24, 2020 06:50

    Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Nigeria amesema wanajeshi wa nchi hiyo wamefanikiwa kuua wanachama 135 wa magenge ya kigaidi katika majimbo ya Zamfara na Katsina kaskazini magharibi mwa nchi.

  • Naibu wa Sheikh Zakzaky: Kadhia ya Palestina ni ya kidini, kiutu na kiakhlaqi kwa bara Afrika

    Naibu wa Sheikh Zakzaky: Kadhia ya Palestina ni ya kidini, kiutu na kiakhlaqi kwa bara Afrika

    May 18, 2020 22:55

    Naibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kadhia ya Palestina si tu suala la kidini, bali pia ni suala la kiutu na kiakhlaqi kwa mataifa ya Afrika.

  • Jeshi la Nigeria lawakomboa raia 72 waliokuwa wakishikiliwa mateka na Boko Haram

    Jeshi la Nigeria lawakomboa raia 72 waliokuwa wakishikiliwa mateka na Boko Haram

    May 14, 2020 06:38

    Jeshi la Nigeria limefanikiwa kuwakomboa raia 72 waliokuwa wakishikiliwa mateka na kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Borno.

  • Wanamgambo 89 wauawa Nigeria, mateka 5 wanusuriwa

    Wanamgambo 89 wauawa Nigeria, mateka 5 wanusuriwa

    Apr 26, 2020 03:29

    Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuwaangamiza makumi ya wanamgambo katika operesheni iliyofanyika katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi.

  • Nigeria: Watu 47 wauawa na 'majambazi'  katika jimbo la Katsina

    Nigeria: Watu 47 wauawa na 'majambazi' katika jimbo la Katsina

    Apr 20, 2020 07:19

    Vyombo vya usalama nchini Nigeria vimetangaza kuwa, kwa akali watu 47 wameuawa katika shambulio la majambazi wenye silaha dhidi ya vijiji kadhaa katika jimbo la Katsina, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • 18 wauawa na askari wanaotekeleza sheria za kudhibiti Corona Nigeria

    18 wauawa na askari wanaotekeleza sheria za kudhibiti Corona Nigeria

    Apr 16, 2020 23:57

    Kwa akali watu 18 wameuawa na maafisa usalama nchini Nigeria, waliokuwa katika operesheni za kuteleza sheria za kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • Nigeria yatakiwa kumwachia huru Sheikh Zakzaky wakati huu wa corona

    Nigeria yatakiwa kumwachia huru Sheikh Zakzaky wakati huu wa corona

    Apr 11, 2020 06:45

    Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) imetoa mwito wa kuachiwa huru kiongozi wake, Sheikh Ibrahim Zakzaky anayekabiliwa na hatari ya kuambukizwa virusi vya corona akiwa kizuzini.

  • Watu 29 wauawa katika shambulio la kigaidi nchini Nigeria

    Watu 29 wauawa katika shambulio la kigaidi nchini Nigeria

    Apr 04, 2020 03:19

    Kwa akali watu 29 wameuawa katika shambulio la kigaidi nchini Nigeria na makumi ya wengine kujeruhiwa.

  • Wanachama 100 wa Boko Haram waangamizwa nchini Nigeria

    Wanachama 100 wa Boko Haram waangamizwa nchini Nigeria

    Mar 28, 2020 07:40

    Serikali ya Nigeria imetangaza kuwa kwa akali wanachama 100 wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameangamizwa katika operesheni dhidi ya ugaidi iliyotekelezwa na jeshi la nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS