-
Oman yalaani uamuzi wa Israel wa kuikalia kwa mabavu Gaza
Aug 09, 2025 23:06Wizara ya Mambo ya Nje ya Oman imelaani uamuzi wa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa kuukalia kwa mabavu Ukanda wa Gaza.
-
Iran na Oman zatiliana saini hati 18 za mikataba ya ushirikiano
May 27, 2025 23:58Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman zimetiliana saini hati 18 za mikataba ya ushirikiano katika nyanja mbalimbali.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Hatufurutu mpaka katika kuyatazama mazungumzo ya Oman kwa jicho zuri au baya
Apr 15, 2025 09:40Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, ufuatiliaji ndicho kiungo kinachokosekana katika kufanikisha malengo ya nchi na akasisitiza kuwa ajenda ya pamoja ya mihimili mitatu ya dola ni kufanya jitihada za kufanikisha kaulimbiu ya mwaka huu.
-
Maelfu ya Waomani na Walibya waandamana kuunga mkono Palestina + Video
Apr 12, 2025 04:07Maelfu ya wananchi wa Oman wamefanya maandamano kulaani jinai za utawala wa Kizayuni na kuliunga mkono taifa madhlumu la Palestina.
-
Kushiriki Iran katika "Mkutano wa Nchi za Bahari ya Hindi" kuna umuhimu gani?
Feb 18, 2025 23:05Duru ya Nane ya Mkutano wa Nchi za Bahari ya Hindi chini ya kauli mbiu "Kuelekea Upeo Mpya wa Ushirikiano wa Baharini" imefanyika tarehe 16 na 17 mwezi huu wa Februari huko Oman kwa kuhudhuriwa na viongozi wa ngazi ya juu wa nchi 20 wanachama. Oman, India na Singapore kwa pamoja zilikuwa wenyeji wa kongamano hilo.
-
Uhusiano wa kibiashara wa Iran na Oman wazidi kustawi
Jan 29, 2025 00:06Waziri wa Viwanda, Madini na Biashara wa Iran ametangaza habari ya kuzidi kustawi na kuimarika uhusiano wa kibiashara baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Oman.
-
Araghchi: Kwa kujiamini kuwa mpango wake wa nyuklia ni wa amani, Iran haijawahi katu kujiondoa kwenye mazungumzo
Jan 15, 2025 08:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Sayyid Abbas Araghchi amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haijawahi kuwa mshiriki wa kujiondoa kwenye meza ya mazungumzo kutokana na kujiamini kwamba mpango wake wa nishati ya nyuklia una malengo kamili ya amani.
-
Araghchi asisitiza kuundwa serikali jumuishi nchini Syria
Dec 30, 2024 09:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia wajibu wa kuundwa serikali jumuishi nchini Syria. Sayyid Abbas Araqchi ameeleza haya leo katika kikao na waandishi wa habari hapa Tehran akiwa na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman, Sayyid Badr Albusaidi.
-
Mufti wa Oman apongeza shambulio dhidi ya makazi ya Netanyahu
Oct 21, 2024 03:05Mufti Mkuu wa utawala wa Kisultani wa Oman amepongeza shambulio la wanamuqawama lililolenga makazi ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu.
-
Iran na Oman zasisitiza ulazima wa kusitishwa mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza na Lebanon
Oct 14, 2024 08:07Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman wamebadilishana mawazo kuhusu hali ya kutisha katika eneo na kutaka kusitishwa mara moja mauaji ya halaiki na uchokozi wa utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.