-
Araghchi: Kwa kujiamini kuwa mpango wake wa nyuklia ni wa amani, Iran haijawahi katu kujiondoa kwenye mazungumzo
Jan 15, 2025 08:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Sayyid Abbas Araghchi amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haijawahi kuwa mshiriki wa kujiondoa kwenye meza ya mazungumzo kutokana na kujiamini kwamba mpango wake wa nishati ya nyuklia una malengo kamili ya amani.
-
Araghchi asisitiza kuundwa serikali jumuishi nchini Syria
Dec 30, 2024 09:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia wajibu wa kuundwa serikali jumuishi nchini Syria. Sayyid Abbas Araqchi ameeleza haya leo katika kikao na waandishi wa habari hapa Tehran akiwa na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman, Sayyid Badr Albusaidi.
-
Mufti wa Oman apongeza shambulio dhidi ya makazi ya Netanyahu
Oct 21, 2024 03:05Mufti Mkuu wa utawala wa Kisultani wa Oman amepongeza shambulio la wanamuqawama lililolenga makazi ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu.
-
Iran na Oman zasisitiza ulazima wa kusitishwa mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza na Lebanon
Oct 14, 2024 08:07Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman wamebadilishana mawazo kuhusu hali ya kutisha katika eneo na kutaka kusitishwa mara moja mauaji ya halaiki na uchokozi wa utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Iran na Oman zafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi + Video
Oct 10, 2024 23:08Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na jirani yake Oman zimefanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi yaliyoshirikisha Jeshi la Majini la Iran, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran SEPAH na Jeshi la Majini la Oman.
-
Oman: Badala ya kulaani hatua ya Iran, komesheni Israel kuikalia kwa mabavu ardhi ya Palestina
Oct 05, 2024 00:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amesema, badala ya kulaani hatua ya Iran, ukomeshwe ukaliaji ardhi ya Palestiina kwa mabavu unaofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Mufti wa Oman: Nasrullah alikuwa mwiba kwenye koo ya Wazayuni
Sep 29, 2024 22:56Mufti Mkuu wa Oman amesema Sayyid Hassan Nasrullah, kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon aliyeuawa shahidi karibuni na Israel alikuwa mwiba kwenye koo ya Wazayuni kwa zaidi ya miongo mitatu.
-
Naibu Waziri wa Kazi wa Oman: Iran ni mahala salama kwa wawekezaji wa Oman
Sep 09, 2024 03:22Naibu Waziri wa Kazi wa Oman amesisitiza kuwa Iran ni mahali salama kwa wawekezaji wa Oman kutokana na usalama na miundombinu yake mwafaka.
-
Mufti wa Oman: Kuiunga mkono Yemen ni wajibu wa kila Muislamu
Jul 21, 2024 03:19Mufti Mkuu wa Oman amelaani vikali hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuushambulia mji wa magharibi mwa Yemen wa al-Hudaydah, huku akiwataka Waislamu kote ulimwenguni kuliunga mkono na kulisaidia kwa hali na mali taifa hilo la Kiarabu linalosumbuliwa na ukata na umaskini mkubwa.
-
Daesh: Tumehusika na shambulio la siku ya Ashura lililoua 6 Oman
Jul 17, 2024 09:47Kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) limekiri kuhusika na shambulizi la kigaidi lililolenga Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wamekusanyika katika msikiti mmoja nchini Oman, kwa ajili ya maombolezo ya Ashura ya kukumbuka siku ya kuuliwa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (a.s).