-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan: Hatuhitaji msaada wa fedha wa Marekani
Jan 25, 2018 10:12Katika radiamali kwa hatua ya Marekani ya kusitisha msaada wake wa kifedha kwa Pakistan, Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amesema, Islamabad haina haja na msaada huo wa Washington.
-
Maulamaa wa Pakistan watoa fatua ya kuharamisha kujiripua
Jan 17, 2018 00:47Mamia ya maulamaa wa Kiislamu nchini Pakistan wametoa fatua ya kuharamisha mashambulizi ya kujitoa muhanga, katika hali ambayo nchi hiyo inaendelea kukabiliwa na hujuma za magenge ya kigaidi.
-
Larijani: Iran na Pakistan zimesimama kidete kukabiliana na matatizo ya ugaidi kwa busara
Jan 16, 2018 01:05Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran na Pakistan zikitumia busara na werevu zimeweza kusimama kidete na kukabiliana vyema na matatizo mbalimbali yanayosababishwa na ugaidi.
-
Jibu la Wapakistan kwa matamshi mapya ya Trump
Jan 03, 2018 09:46Matamshi mapya ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu makosa ya kistratijia ya nchi hiyo katika kuipa Pakistan misaada ya kifedha kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita, yamekabiliwa na radiamali kali kutoka kwa Wapakistan.
-
Viongozi wa kisiasa Pakistan wakerwa na Trump, waitaka serikali kuisusa US
Jan 02, 2018 04:21Viongozi wa vyama vya siasa na wanaharakati nchini Pakistan wameonyesha kukerwa mno na matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu nchi yao.
-
Indhari ya viongozi wa Pakistan juu ya kusajiliwa shule za kidini zenye mielekeo ya Uwahabi
Jan 02, 2018 00:43Naibu Waziri wa Masuala ya Kidini nchini Pakistan, Mohammad Aftab ameonya juu ya kusajiliwa shule za kidini zenye mielekeo ya Uwahabi nchini humo.
-
Mpaka wa Iran na Pakistan kuwa eneo la amani na urafiki
Dec 30, 2017 00:56Msemaji wa jeshi la Pakistan ametangaza kuwa, mpaka wa nchi hiyo na Iran utafanywa kuwa mpaka na eneo la amani na urafiki kwa maana halisi ya neno hilo.
-
Pakistan yaikosoa Marekani kwa kutoa tuhuma zisizo na msingi dhidi yake
Dec 23, 2017 23:54Msemaji wa jeshi la Pakistan amejibu matamshi yaliyotolewa na Makamu wa Rais wa Marekani akiwa huko Afghanistan, kuwa mtazamo wa Washington dhidi ya Islamabad ni kikwazo katika mchakato wa mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Spika wa Bunge la Iran kuelekea Pakistan leo
Dec 23, 2017 04:17Dakta Ali Larijani, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo anatarajiwa kuuongoza ujumbe wa Kibunge wa Iran kuelekea Pakistan kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa kujadili namna ya kukabiliana na ugaidi.
-
Ukosoaji wa Bunge la Pakistan kwa serikali kwa kujiunga na muungano vamizi ulioasisiwa na Saudia dhidi ya Yemen
Dec 16, 2017 21:54Wawakilishi wa bunge la taifa la Pakistan wamekosoa kushiriki Islamabad kwenye muungano chokozi ulioanzishwa na utawala wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen.