Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Israel yawadondoshea mabomu Wapalestina wa Gaza

    Israel yawadondoshea mabomu Wapalestina wa Gaza

    Jul 14, 2018 03:24

    Kwa mara nyingine tena ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimewadondoshea mabomu Wapalestina kusini mwa Ukanda wa Gaza.

  • Umoja wa Ulaya hautambui rasmi kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina

    Umoja wa Ulaya hautambui rasmi kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina

    Jul 13, 2018 23:35

    Msemaji wa mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa umoja huo hautambui rasmi hatua ya utawala ghasibu wa Israel ya kukali kwa mabavu ardhi za Wapalestina ulizoziteka mwaka 1967.

  • Wamarekani waandamana Washington kutetea Palestina

    Wamarekani waandamana Washington kutetea Palestina

    Jul 13, 2018 22:51

    Raia wa Marekani wamefanya maandamano mjini Washington wakipinga mpango wa Marekani dhidi ya Palestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne".

  • Utafiti: Marekani na Israel ndio tishio kuu kwa Waarabu

    Utafiti: Marekani na Israel ndio tishio kuu kwa Waarabu

    Jul 13, 2018 03:11

    Utafiti mpya wa maoni unaonesha kuwa, zaidi ya asilimia 75 ya Waarabu wanaitazama Marekani na utawala haramu wa Israel kama tishio kuu kwa usalama wa mataifa yao.

  • UN: Israel imebomoa nyumba 197 za Wapalestina Ukingo wa Magharibi

    UN: Israel imebomoa nyumba 197 za Wapalestina Ukingo wa Magharibi

    Jul 11, 2018 23:40

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa nyumba 197 za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu wa 2018.

  • Mufti Mkuu wa Beitul-Muqaddas:  Ni haramu kuwapatia maadui ardhi za Palestina

    Mufti Mkuu wa Beitul-Muqaddas: Ni haramu kuwapatia maadui ardhi za Palestina

    Jul 11, 2018 03:10

    Mufti Mkuu wa Beitul-Muqaddas na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina ametangaza kuwa, kuwapatia maadui ardhi za Palestina ambazo ni mali ya Wapalestina ni haramu.

  • HAMAS: Hatujafanya mazungumzo na yeyote kuhusu

    HAMAS: Hatujafanya mazungumzo na yeyote kuhusu "Muamala wa Karne"

    Jul 09, 2018 21:54

    Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amekanusha vikali baadhi ya madai kuhusiana na kukubali kujadili viongozi wa harakati hiyo mpango wa "Muamala wa Karne".

  • UN, EU zaitaka Israel isibomoe kijiji cha Wapalestina Ukingo wa Magharibi

    UN, EU zaitaka Israel isibomoe kijiji cha Wapalestina Ukingo wa Magharibi

    Jul 05, 2018 09:38

    Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya zimeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe mpango wake wa kubomoa kijiji cha Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Wanajeshi wa Israel wawapiga wanawake wa Kipalesatina na kuwavua hijabu zao

    Wanajeshi wa Israel wawapiga wanawake wa Kipalesatina na kuwavua hijabu zao

    Jul 05, 2018 03:22

    Wanajeshi wa Israel wametenda jinai nyingine baada ya kuwapiga, kuwadhalilisha na kuwavua hijabu wanawake wa Kipalestina katika kijiji cha Khan al-Ahmar mashariki mwa mji wa Quds.

  • Jeshi la Israel lashambulia maandamano ya wanawake wa Kipalestina, 134 wajeruhiwa

    Jeshi la Israel lashambulia maandamano ya wanawake wa Kipalestina, 134 wajeruhiwa

    Jul 04, 2018 02:57

    Askari katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameyashambulia kwa risasi hai maandamano ya wanawake wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza na kujeruhi 134 miongoni mwao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS