-
Abbas: 2017 utakuwa mwaka wa kujitangazia uhuru Palestina
Jan 01, 2017 04:35Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amekaribisha hatua ya hivi karibuni ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ya kupasisha azimio dhidi ya utawala ghasibu wa Israel na kusema kuwa 2017 utakuwa mwaka wa Palestina kujitangazia uhuru wake.
-
Palestina yaitaka UN kutekeleza azimio nambari 2334 dhidi ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi
Dec 31, 2016 11:23Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kutekelezwa azimio la umoja huo kuhusu kusitishwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kihayudi unaofanywa na Israel katika ardhi inazozikalia kwa mabavu.
-
Mapambano, njia pekee ya kuikomboa Palestina
Dec 31, 2016 00:19Mkuu wa Tume ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema mazungumzo baina ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina na utawala wa Kizayuni wa Israel hayatazaa matunda na kwamba njia pekee ya kuikomboa Palestina ni kupitia mapambano au muqawama.
-
UN: Ubomoaji nyumba za Wapalestina unaofanywa na Israel umeongezeka mno
Dec 30, 2016 01:00Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mwaka huu unaomalizika wa 2016 umeshuhudia ongezeko la vitendo vya uvunjaji na ubomoaji nyumba za Wapalestina uliofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran yakaribisha hatua ya Baraza la Usalama dhidi ujenzi wa vitongoji vya Israel
Dec 25, 2016 04:09Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepongeza hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupasisha azimio dhidi ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Baraza la Usalama lapasisha azimio dhidi ya Israel, ushindi kwa Palestina
Dec 24, 2016 04:08Hatimaye baada ya vuta nikuvute, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kutaka kusimamishwa mara moja ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
'Misri haikushauriana na Palestina kuhusu kutowasilisha UN rasimu ya azimio dhidi ya Israel'
Dec 23, 2016 23:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina ametangaza kuwa, kwa ombi la Misri, upigaji kura katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wa rasimu ya azimio la kutaka kusimamishwa mara moja ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni umeakhirishwa.
-
EU, Arab League zalaani ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Dec 21, 2016 10:54Umoja wa Ulaya EU na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu zimelaani hatua ya utawala ghasibu wa Israel kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
-
Ban Ki-moon apuuza Palestina katika siku zake za mwisho
Dec 19, 2016 04:50Wakati zikiwa zimebakia wiki mbili tu hadi kung'atuka madarakani kama Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amethibitisha tena kwamba, jumuiya hiyo ya kimataifa imeshindwa kuwa na nafasi na mchango muhimu katika mgogoro wa Palestina.
-
PLO yaionya Marekani kuhusu kuhamishia ubalozi Quds Tukufu
Dec 17, 2016 04:24Afisa wa ngazi za juu katika Harakati ya Ukombozi wa Palestina PLO amemuonya rais mteule wa Marekani Donald Trump kuhusu pendekezo lake la kuhamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Qud Tukufu.