-
Kiongozi Muadhamu: Palestina itakombolwewa kwa baraka za mapambano ya Wapalestina
Dec 14, 2016 11:02Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: "Pamoja na kuwa waitifaki wa utawala wa Kizayuni wanaibua migogoro mara kwa mara ili kadhia ya Palestina isahaulike, lakini ardhi hii takatifu itakombolewa kwa baraka za muqawama na jihadi ya taifa na makundi ya Palestina".
-
Zarif: Iran inafanya juhudi za kuimarisha muqawama wa taifa la Palestina
Dec 12, 2016 23:20Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili daima limekuwa likifanya juhudi za kuimarisha safu za muqawama, mapambano na mshikamano wa taifa la Palestina.
-
Velayati: Matamshi ya Waziri Mkuu wa Uingereza hayana athari za kivitendo
Dec 12, 2016 10:33Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistratejia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema kuwa, matamshi yaliyo dhidi ya Iran ya Waziri Mkuu wa Uingereza katika mkutano wa usalama mjini Manama nchini Bahrain hayana athari za kivitendo.
-
Mamia ya Wapalestina watekwa nyara na Wazayuni
Dec 04, 2016 03:53Kituo cha Kufuatilia Masuala ya Mateka wa Palestina kimesema kuwa, mamia ya Wapalestina wametekwa nyara na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika kipindi cha mwezi ulioisha wa Novemba.
-
Dunia leo inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kushikamana na Wapestina
Nov 28, 2016 23:31Jumuiya ya Kimataifa ya Amani ya Kiislamu imelaani jinai zinazoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya watu wa Palestina na kutangaza kuwa, kuendelezwa siasa za ukandamizaji za utawala huo kutaimarisha zaidi harakati zenye misimamo mikali.
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa juu ya haki ya taifa la Palestina ya kujiainishia mustakbali
Nov 23, 2016 23:32Nchi 170 kati ya nchi 193 wanachama wa Kamati ya Kijamii, Kiutamaduni na Kibinadamu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (SOCHUM) zimeipigia kura ya ndio rasimu ya azimio lenye anwani inayosema, "Haki ya Taifa la Palestina ya Kujiainishia Mustakabali Wake".
-
Hamas: Israel inacheza na moto kwa kupiga marufuku Adhana
Nov 21, 2016 03:58Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia amri yake ya kupiga marufuku adhana na kusema sheria hiyo ni sawa na 'kuchezea moto.'
-
PCC: Mamia ya watoto wa Palestina wanashikiliwa katika jela za Israel
Nov 20, 2016 01:15Taasisi moja isiyokuwa ya serikali huko Palestina imeripoti kuwa, mamia ya watoto wadogo wa Kipalestina wanashikiliwa katika jela za utawala ghasibu wa Isarel.
-
Baraza la Taifa la Palestina latilia mkazo kuundwa nchi huru ya Palestina
Nov 16, 2016 10:57Baraza la Taifa la Palestina kwa mara nyingine tena limesistiza juu ya ulazima wa kuundwa nchi huru ya Palestina.
-
Donald Trump na Usalama wa Utawala haramu wa Israel
Nov 12, 2016 04:30Siku tatu baada ya Donald Trump kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi wa rais wa Marekani, kumetolewa kauli kadhaa kuhusu namna Trump anavyoutazama usalama wa Israel.