Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Walowezi wa Kizayuni washambulia tena Masjidul Aqsa

    Walowezi wa Kizayuni washambulia tena Masjidul Aqsa

    Nov 10, 2016 09:54

    Kwa mara nyingine tena walowezi wa Kizayuni wamekishambulia kibla cha kwanza cha Waislamu.

  • Zarif: Kadhia ya Palestina ndio suala kuu kwa Ulimwengu wa Kiislamu

    Zarif: Kadhia ya Palestina ndio suala kuu kwa Ulimwengu wa Kiislamu

    Nov 08, 2016 12:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Muhammad Javad Zarif amesema kadhia ya Palestina ndio suala kuu kwa Ulimwengu wa Kiislamu.

  • Israel yapiga marufuku adhana Ukingo wa Magharibi, Palestina

    Israel yapiga marufuku adhana Ukingo wa Magharibi, Palestina

    Nov 06, 2016 04:08

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umepiga marufuku adhana katika misikiti mitatu magharibi mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, linalokaliwa kwa mabavu na utawala huo khabithi.

  • Mash'al: Kuna udharura wa kufikiwa umoja wa kitaifa Palestina

    Mash'al: Kuna udharura wa kufikiwa umoja wa kitaifa Palestina

    Nov 03, 2016 00:24

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa upo udhaura wa kufikiwa umoja wa kitaifa wa Palestina ili kukomesha ukaliaji mabavu wa Israel.

  • Tangazo la Balfour, chanzo cha ukosefu wa amani Mashariki ya Kati

    Tangazo la Balfour, chanzo cha ukosefu wa amani Mashariki ya Kati

    Nov 02, 2016 03:46

    Matatizo yote ya kiusalama yaliyopo hivi sasa katika eneo nyeti la Mashariki ya Kati yanatokana na tangazo la Balfour.

  • Israel imebomoa nyumba 780 za Wapalestina Ukingo wa Magharibi mwaka huu wa 2016

    Israel imebomoa nyumba 780 za Wapalestina Ukingo wa Magharibi mwaka huu wa 2016

    Oct 28, 2016 23:09

    Utawala haramu wa Israel umeharibu nyumba 780 za Wapalestina katika eneo unalolikalia kwa mabavu la Ukingo wa Magharibi wa mto Jordan tokea mwanzoni mwa mwaka huu wa 2016.

  • Viongozi wa Palestina wakutana Doha katika kikao nadra cha kutafuta umoja

    Viongozi wa Palestina wakutana Doha katika kikao nadra cha kutafuta umoja

    Oct 28, 2016 10:34

    Rais Mahmoud Abbas wa mamlaka ya ndani ya Palestina ameshiriki katika mkutano nadra na viongozi wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, mjini Doha, Qatar.

  • Radiamali ya Hamas kwa vitisho vya Waziri wa Vita wa Israel

    Radiamali ya Hamas kwa vitisho vya Waziri wa Vita wa Israel

    Oct 25, 2016 04:49

    Harakati ya Mapambano wa Kiislamu ya Palestina Hamas imepuuzilia mbali vitisho vilivyotolewa hivi karibuni na waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Avigdor Lieberman, akidai kuwa utawala huo utausambaratisha muqawama wa Wapalestina.

  • Iran yaikosoa Bahrain kwa kuhujumu ofisi ya chama cha Kiislamu cha Al Wefaq

    Iran yaikosoa Bahrain kwa kuhujumu ofisi ya chama cha Kiislamu cha Al Wefaq

    Oct 21, 2016 10:19

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imebainisha wasi wasi wake mkubwa baada ya vikosi vya utawala wa Bahrain kuvamia ofisi ya chama cha Kiislamu cha Al Wefaq na kusema hatua kama hizo dhidi ya wapinzani ni kosa la kistraitjia.

  • Al-Wefaq: Wabahrain wataendelea kuiunga mkono Palestina

    Al-Wefaq: Wabahrain wataendelea kuiunga mkono Palestina

    Oct 20, 2016 10:30

    Chama cha Kiislamu cha al-Wefaq cha Bahrain kimesema hakuna nafasi ya utawala wa Kizayuni wa Israel nchini humo na kusisitiza kuwa wananchi wa Bahrain wataendelea kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS