-
Dunia leo inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kushikamana na Wapestina
Nov 28, 2016 23:31Jumuiya ya Kimataifa ya Amani ya Kiislamu imelaani jinai zinazoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya watu wa Palestina na kutangaza kuwa, kuendelezwa siasa za ukandamizaji za utawala huo kutaimarisha zaidi harakati zenye misimamo mikali.
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa juu ya haki ya taifa la Palestina ya kujiainishia mustakbali
Nov 23, 2016 23:32Nchi 170 kati ya nchi 193 wanachama wa Kamati ya Kijamii, Kiutamaduni na Kibinadamu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (SOCHUM) zimeipigia kura ya ndio rasimu ya azimio lenye anwani inayosema, "Haki ya Taifa la Palestina ya Kujiainishia Mustakabali Wake".
-
Hamas: Israel inacheza na moto kwa kupiga marufuku Adhana
Nov 21, 2016 03:58Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia amri yake ya kupiga marufuku adhana na kusema sheria hiyo ni sawa na 'kuchezea moto.'
-
PCC: Mamia ya watoto wa Palestina wanashikiliwa katika jela za Israel
Nov 20, 2016 01:15Taasisi moja isiyokuwa ya serikali huko Palestina imeripoti kuwa, mamia ya watoto wadogo wa Kipalestina wanashikiliwa katika jela za utawala ghasibu wa Isarel.
-
Baraza la Taifa la Palestina latilia mkazo kuundwa nchi huru ya Palestina
Nov 16, 2016 10:57Baraza la Taifa la Palestina kwa mara nyingine tena limesistiza juu ya ulazima wa kuundwa nchi huru ya Palestina.
-
Donald Trump na Usalama wa Utawala haramu wa Israel
Nov 12, 2016 04:30Siku tatu baada ya Donald Trump kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi wa rais wa Marekani, kumetolewa kauli kadhaa kuhusu namna Trump anavyoutazama usalama wa Israel.
-
Walowezi wa Kizayuni washambulia tena Masjidul Aqsa
Nov 10, 2016 09:54Kwa mara nyingine tena walowezi wa Kizayuni wamekishambulia kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Zarif: Kadhia ya Palestina ndio suala kuu kwa Ulimwengu wa Kiislamu
Nov 08, 2016 12:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Muhammad Javad Zarif amesema kadhia ya Palestina ndio suala kuu kwa Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Israel yapiga marufuku adhana Ukingo wa Magharibi, Palestina
Nov 06, 2016 04:08Utawala wa Kizayuni wa Israel umepiga marufuku adhana katika misikiti mitatu magharibi mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, linalokaliwa kwa mabavu na utawala huo khabithi.
-
Mash'al: Kuna udharura wa kufikiwa umoja wa kitaifa Palestina
Nov 03, 2016 00:24Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa upo udhaura wa kufikiwa umoja wa kitaifa wa Palestina ili kukomesha ukaliaji mabavu wa Israel.