-
Bendera ya Palestina yapepea ndani ya Bunge la Ufaransa
May 29, 2024 03:11Bendera ya Palestina imepepea katika Bunge la Ufaransa.
-
Uhispania, Ireland na Norway zaitambua rasmi Palestina
May 29, 2024 00:17Uhispania, Ireland na Norway jana zilipasisha rasmi mpango wa kutambua rasmi Palestina, katika uamuzi ulioratibiwa hatua ambayo imeongeza himaya na uungaji mkono kwa Palestina barani Ulaya.
-
Trump aapa "kutimua wanafunzi" na kukandamiza wanaounga mkono Palestina akichagualiwa tena kuwa rais
May 29, 2024 00:08Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameapa kuwa atakandamiza maandamano ya watetezi na waungaji mkono wa Palestina yanayoendelea kufanywa katika vyuo vikuu vya nchi hiyo na kusisitiza kuwa "atawafukuza" wanafunzi wanaohudhuria maandamano hayo, ikiwa atachaguliwa kurudi tena madarakani.
-
Slovenia: Kulitambua taifa la Palestina ni wajibu wa kimaadili
May 26, 2024 22:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Slovenia amesema kuitambua Palestina kama nchi huru ni jukumu la kimaadili.
-
Maandamano ya kuitetea Palestina yashuhudiwa Ulaya licha ya vizingiti
May 26, 2024 09:48Miji na majiji makubwa ya Ulaya jana Jumamosi yalishuhudia maandamano ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, sanjari na kutaka kusitishwa mara moja vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya eneo hilo lililozingirwa.
-
Makundi ya Muqawama yatoa tamko kuhusu uamuzi wa nchi za Ulaya kuitambua nchi ya Palestina
May 24, 2024 06:50Makundi ya Muqawama ya Palestina yametoa mjibizo kwa utayarifu uliotangazwa na nchi kadhaa za Ulaya wa kuitambua nchi huru ya Palestina kwa kueleza kwamba hatua hiyo ni mabadiliko makubwa katika msimamo wa nchi mbalimbali duniani katika kuunga mkono piganio tukufu la taifa la Palestina.
-
Upinzani wa Marekani dhidi ya hatua ya nchi za Ulaya ya kulitambua taifa la Palestina
May 24, 2024 04:25Siku ya Jumatano, Ikulu ya Marekani ailitoa taarifa ya kuunga mkono kwa pande zote utawala haramu Israel na kusema kuwa Rais Biden anaamini kwamba taifa la Palestina linapaswa kuanzishwa kupitia mazungumzo na si kutambuliwa kwa upande mmoja na baadhi ya nchi.
-
Waarabu wazipongeza nchi za Ulaya zilizolitambua taifa la Palestina
May 23, 2024 06:58Mataifa ya Kiarabu yamekaribisha hatua ya baadhi ya nchi za Ulaya ya kutangaza rasmi kulitambua taifa la Palestina.
-
Ansarullah: Shahidi Raisi aliitetea Palestina hadi siku za mwisho kabisa za uhai wake
May 23, 2024 04:15Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen Muhammad Abdussalam amesema, Shahidi Sayyid Ebrahim Raisi aliitetea Palestina hadi siku za mwisho kabisa za uhai wake.
-
Polisi wa Marekani wawapiga na kuwatia nguvuni watetezi wa Palestina walioadhimisha Siku ya Nakba
May 19, 2024 07:45Askari polisi wa Marekani wamewapiga na kuwakamata watu kadhaa katika maandamano ya kuiunga mkono Palestina yaliyofanyika katika mji wa Brooklyn jimboni New York, ukiwa ni mwendelezo wa operesheni za kukandamiza na kuzima sauti zinazopinga vita dhidi ya Ghaza nchini Marekani.