-
Palestina: Safari za Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani katika eneo hazina tija yoyote
Mar 21, 2024 10:37Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imesema diplomasia inayofanywa na Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani Anthony Blinken katika Mashariki ya Kati (Asia Magharibi) bado haijatoa "matokeo yoyote ya kuonekana" kwa ajili ya Ghaza.
-
Ukosoaji wa Afrika Kusini dhidi ya Israel kwa kukaidi uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki
Mar 21, 2024 04:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesema kuwa kutotekelezwa maamuzi ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki dhidi ya Israel kunaidhoofisha mahakama hiyo.
-
Qatar: Tuna matumaini ya kupatikana usitishaji vita Ukanda wa Ghaza
Mar 19, 2024 23:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar amesema kuwa, kumeshuhudiwa maendeleo mazuri kwenye mazungumzo ya kusimamisha vita na ana matumaini mazungumzo hayo yatazaa matunda mazuri.
-
Makundi ya Palestina yako tayari kukabiliana na njama za pamoja za Marekani na utawala wa Kizayuni
Mar 18, 2024 04:05Mustafa al-Barghouthi, Katibu Mkuu wa Harakati ya Ubunifu wa Kitaifa ya Palestina ametahadharisha kuhusu njama mpya ya pamoja ya serikali ya Marekani na utawala haramu wa Israel kuhusu ujenzi wa bandari au gati la muda huko Gaza.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yaendelea kushuhudiwa katika nchi mbalimbali
Mar 17, 2024 23:33Wananchi katika nchi mbalimbali kwa mara nyingine tena wamefanya maandamano na mikusanyiko mbalimbali katika kuwaunga mkono na kuonyesha mshikamano kwa raia madhulumu wa Palestina.
-
AFP: Viongozi wa harakati za muqawama wamekutana kuratibu mashambulizi dhidi ya Israel
Mar 16, 2024 22:43Harakati ya Muqawama za Hamas, Jihad Islami, Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Palestina na harakati ya Ansarullah ya Yemen zimefanya mkutano kwa ajili ya kuratibu na kuweka mikakati ya pamoja ya kuliunga mkono na kulitetea taifa linalodhulumiwa la Palestina dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
ICJ kuanza kusikiliza kesi ya mauaji ya kimbari inayoikabili Ujerumani Aprili
Mar 16, 2024 03:51Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ wamesema kesi iliyowasilishwa na Nicagarua ikiishtaki Ujerumani kwa kuunga mkono utawala wa Kizayuni katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina itaanza kusikilizwa mwezi ujao wa Aprili.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran: Hali ya Gaza inamfanya kila mwanadamu alie machozi ya damu
Mar 15, 2024 10:01Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amelitaja suala la Gaza na Palestina kuwa ndiyo kadhia ya kwanza ya Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Mashambulio pacha ya jeshi la Kizayuni yaua Wapalestina 29 waliokuwa wakingojea msaada wa chakula Ghaza
Mar 15, 2024 04:27Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi Wapalestina wapatao 29 wakati wakisubiri msaada katika mashambulizi mawili tofauti lililofanywa dhidi ya Ukanda wa Ghaza uliozingirwa.
-
Maandamano ya kuiunga mkono Palestina karibu na ubalozi wa utawala wa Kizayuni Jordan
Mar 13, 2024 23:04Maandamano ya kuinga mkono Palestina yamefanyika karibu na ubalozi wa utawala wa Kizayuni huko Amman mji mkuu wa Jordan.